WAY

Monday, August 13, 2012

BAADA YA KUIBUKA KUWA MKALI WA MIC NA SAUTI KATIKA MUZIKI WA DANSII DOGO RAMA SASA KUANZA PROJECT MPYA YA ALBUM YAKE YA PILI

MSANII anechipukia kwa kasi ya ajbu katika muziki wa dansi ambae kwa sasa pia ni nguzo muhimu katika band kongwe tanzania TWANGA PEPETA huyu zamani alikua akijiita DOGO RAMA lakni kwa sasa masema amekua na mashabiki wanamwita KING RAMA a.k.a DISMINDER BOY,VUALLA sasa yupo mbioni kuandaa album yake ya pilia baada ya ile ya kwanza kufanya vizuri kiasi chake hapa naizungumzia KILOMETER 10000 ambayo ndani yake kuna nyimbo inayotikisa kwa sasa ya SIRI YA MAPENZI,na IMANI YA MAPENZI pampja na sebene la kilomete 10000 sasa anasema andaa kilometa 10000 party two ambayo nyimbo nyingi ataweza kufanya peke yake ili kuonyesha uwezo zaidi na nyimbo moja ambayo itapatika katika project hiyo imekwisha kamilika akiita TUSICHUKIA BURE ambayo ipo katika hatua za mwisho kuweza kuakamilika ambapo ndani yake kaimba pamoja na kurap yeye mwenyewe KING RAMA
                                  DOGO RAMA AKIWA NA LUIZA MBUTU
MBALI NA HILO pia dogo rama tayarii ameshaanda nyimbo ambayo itakuwemo ndani ya album ya kumi na mbili ya TWANGA PEPETA ambayo itaitwa KUNGURU HAFUGIKI ambayo tayari washaanza kuifanyia mazoezi na hvi karibuni itaanza kuimba katika show zao za dar-es-salaam na itatoka baada ya kuachia single yao pili ya MAPAMBANO YA KIPATO ambayo imtungwa na muumini mwinjuma.
                                    KING RAMA AKIWAIMBISHA
AIDHA DOGO RAMA alifunguka kuhusiana na ushidi wake na kusema siri ya ushindi ni kujituma tu akiwa stage na sio kuuza sura kama wengine wanavyofanya na ndio maana sasa anaamini ni moja kati ya wasanii wanazungumzika nchini tanzania
                                KING RAMA AKIWA NA SAFU YA WANA TWANGA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...