WAY

Saturday, August 11, 2012

MIRIAM JOLWA a.k.a JINI KABULA AFUNGUKA KUHUSIANA SKENDO ZINAZOWAANDAMA WASANII NA KUSEMA NYINGI NI ZA KUTENGENEZA akiri kuwa kuna baadhii ya wasanii wana bifu baina yao

MSANII WA FILAMU NA MAIGIZO MIRIAM JOLWA MAARUFU KAMA JINI KABULA
amesema magazeti mengi yanaandika habari za wasanii kwa kukuza mambo hata kama jambo wanalofanya ni la kawaida lakini waandishi wanaweza kulikuza na kuonekana ni bay katika jamii na kukusitiza kuwa sometym huwa anajua hata kwanini alijiingiza katika tasnia hiyo kutokana na mambo mengi yanayomfanya ashindwe kuishi vile aakavyo kutoka na kufatiliwa sana na waandishi,
                                                JINI KABULA KWA POZI

LAKINI pia alisema mbali ya kuwa na bif au ugomvi binafsi baina yao lakni yeye kwenye kazi ni kazi na baada ya hapo kila kivyake kwa sababu hiyo ndio kazi yake,
PIA JINI KABULA alijitetea kuhusuina na mavazi yake anayovaa na kusema hayo ndio yaliyomkuza na sio kwamba baada ya kuwa muigizaji ndio kaanza au star ndio kaanza kuvaa kwa hiyo watu wanaomfahamu toka zamani hawawezi kushangazwa na hilo kwa kuwa ndio malezi aliyokulia.
                                   JINI KABULA NA RAFIKIZE
MWISHONI KABULA amsema mashabiki wasiwe wa kusikiliza sana yale yanayoandikwa na magezeti kwa kuwa mengi kati ya hayo sio ya kweli na yana lenga kuuza magazeti yao na kuwachafulia wao kwa kuwa magazeti mengi yaanamini kuwa habari mbaya ndiio zinazouza
JINI KABULA amesema sasa wako mbioni kutoa cd za JUMBA LA DHAHABU ili kwa wale walioukosa mchezo huo waweze kuzipata kiurahisi zaidi lakni pia kuna movie mpya inakuja ambayo na yeye yupo ndani huku akisema bado sana kutoa movies zako na bado yupo chini ya kampuni ya TUESDAY ENTERTAIMENT
MBALI NA HILO KABULA amesa pia ana ujio mpya wa kundi lake la muziki ambapo yupo YEYE KABULA,ISABELA MPANDA aliewahi kuwa miss ruvuma na RASHIDA WANJARA ambae aliwahi kuwa miss tanzania namba ya tano na yeye mwenyewe ambae alishawahi kuwa miss kariakoo.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...