Friday, August 3, 2012
Home »
» Mapacha watatu waibuka na mbili mpya moja wakiwa wameshirikisha ally kiba na nyingine wamemshirikisha malkia khadija kopa,aidha wafunguka na na kusema washamalizana na kalala jounior na sasa sio mwanamuziki wa mapacha tena wako mbioni kuzindua album yao ya wosia wa babu
Mapacha watatu waibuka na mbili mpya moja wakiwa wameshirikisha ally kiba na nyingine wamemshirikisha malkia khadija kopa,aidha wafunguka na na kusema washamalizana na kalala jounior na sasa sio mwanamuziki wa mapacha tena wako mbioni kuzindua album yao ya wosia wa babu
Related Posts:
BAADA KIMYA KIREFU BWANA MISOSI AIBUKA KIVYINGINE SAFARI HII AIBUKIA KATIKA STYLE YA KIAFRICA ZAIDI LAKINI VILE VILE AJITOSA KWENYE FILAMU ASEMA ANATAKA KUWA WA KIMATAIFA ZAIDI MSANII wa kizazi kipya aliewahi kutamba na nyimbo kama NITOKE VIPI,HESHIMA,na nyingine kibao baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kumbe kimya kingi kina mshindo mkuu sasa aibuka na style nyingine kabisa na wimbo wake um… Read More
BAADA YA UZINDUZI WA ALBUM YAO YA RISASI KIDOLE KUSHINDWA KUFANA KUTOKANA NA HUJMA KAMA WANAVYODAI SASA MASHUJAA KUFANYA UZINDUZI MWINGINE KWA AJILI YA KUITMBULISHA TENA ALBUM HIYO PAMOJA NA NYIMBO NYINGINE TATU MPYA ZA MWAKA 2013 MASHUJAA MUSICA BAND walifanya utambulisho wa album yao RISASI KIDOLE ndani ya ukumbi wa leaders mwishoni mwa mwaka wa 2012 ambapo walisindikizwa na nguli wa muziiki africa J.B salvarola binadame shtuka baswahili ambap… Read More
KINARA WA SIRI YA MTUNGI NA FILAMU YA MAGIC MONEY AFUNGUKA NA KUSEMA MASUPER STAR NA WASAMBAZAJI WANACHANGIA UBOVU WA FILAMU KWA KUANGALIA NANI AMEFANYA NA SIO KIWANGO CHA MOVIES KIKOJE KINARA anaetamba katika tamthilia ya SIRI YA MTUNGI na filamu yake ya MAGIC MONEY amesema kuna baadhi ya wasanii wakubwa ambao wameshaona game ni yao na hivyo wanaanda movies bora mradi movies na kuziingiza sokoni bila kujal… Read More
EXTRA BONGO KUFAYA BIRTHDAY KWA KUZINDUA ALBUM YAO YA MTENDA AKITENDEWA AMBAPO WATAUZA AUDIO NA VIDEO PAMOJA NA VIDEO ZA LIVE SHOW WALIZOZIFANYA SEHEMU TOFAUTI ZIKIWEMO WALIZOPIGA NJE YA NCHI BENDI ya muziki wa dansi inayotikisa katika medani ya muziki huo kwa sasa nchini tanzania imepaia kufanya birthday kwa ajili ya kusherekea miaka mnne ya band hiyo ambapo siku ya uzinduzi wa band hiyo ndio siku ambayo wameamu… Read More
HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA BLOG YA GMBONGOTHAINTERTAINER.BLOGSPOT.COM KUANZIA WIKI IJAYO KUWA WA KWANZA KUJUA HABARI ZA WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,FILAMU NA MUZIKI WA KIAFRICA TOKA TANZANIA PIA KUWA WA KWANZA KUPATA NYIMBO MPYA KWA UHAKIKA ZAIDI LIKE MY PAGE G.MBONGO ILI UWE UPTODATE Kutokana na mamombi ya mashabiki na wadau wengi wa blog yangu nimeaona kuwa ya kitanzniania zaidi lakini kwa upande wa burudani tu ambapo habari zote mpya utakua unazipata kwenye blog hii ya gmbongothaintertainer.blogspot.co… Read More
.


0 comments:
Post a Comment