WAY

Thursday, August 16, 2012

DRC: Mwanamuziki Koffi Olomidé ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu

 

Mahakama ya mjini Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imemhukumu kifungo cha miezi 3 jela mwanamuziki mashuhuri Koffi Olomidé kwa kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa umma.
KOFFI OLOMIDE AKIWA NA CIDY LE COUR
Koffi Olomide alikamatwa hapo jana baada ya kumrushia ngumi na kumuumiza meneja wake wa muziki. Olomidé ambaye alijipatia sifa kutokana na muziki wa rumba,amewahuzunisha wakongo wengi kufuatia kitendo chake hicho.

                                                    KOFFI OLOMIDE
ikumbukwe pia koffi amekwisha wahi kuchapwa viboko na wanajeshi kutoka na kugoma msafara wake kugoma kupisha barabarani 
huku hukumu hiyo ikimkabili koffi lakini pia koffi alikua na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia  kwa mcheza show wake ambae kesi yake ilipigwa danadana

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...