WAY

Wednesday, August 1, 2012

Amanda poshy atiririka kuhusuana na baadhi ya wasanii wa kike kutopendana,lakini pia afunguka kuhusiana na maelewano yake yeye na mama yake wa kambo,ambae dotnata,pia aweka wazi wasanii wanaopenda kuandikwa magazetini

Amanda poshy kama anavyojulikana na wengi jina lake halisi tamrina mohamed poshy amesma kutopenda kwa baadhi ya wasanii hasa wa kike kunarudisha nyuma tasnia ya filamu kwa namna moja ama nyingine kwa kua wengine wanajiweka juu zaidi kuliko wengine na mwisho wa siku unakuta wanofanya filamu ni wale wale na kuonekana kuto kuwa na mabadiliko katika filamu au movie za kibongo, huku akiongeza kwa kusema kuna umuhim wa kuanzisha umoja ambao utakua unachagua wasanii kufanya filamu fulanni sio wasanii au ma producer kuangalia kwa upendeleo lakini mbali na hilo amanda ambae ameshawahi kutamba katika michezo ya televisheni uitwao gumbizi na kwenye filamu ya peremende lakini baada ya hapo alisimama kwa muda kutokana na matatizo ya kiafya aliweka bayana uhusinao wake na mama yake wa kambo dotnata na kusema kuwa hata vikombe vinagongana lakini yeye alikua mtu wa kwanza kufurahia ndoa ya baba yake kwa dotnata lakini maelewano yao yalikatika kutokana na sababu binafsi ambazo hakutaka kuziweka bayana

                                              AMANDA POSHY IN ACTION
lakini akasema ipo siku wanaweza kukaa pamoja na kufanya filamu hilo linaweza kutokea lakini pia alititirika kuhusiana na wasanii ambao huwa wanapenda sana kuandikwa katika magazeti huku wengine huwa wanafanya vitu fanya kijinga halafu mwisho wa siku anapiga simu ye mwenyewe kwa waandishi wa habari ili mradi aweze kutoka kwenye media hasa magazeti na mwisho kuwaaminisha watu huwezi kuwa msanii mzuri bila ya kuwa na skendo
                                     AMANDA AKIWA NA KOJACK KATIKA MOVIES MPYA
aidha amanda amesema kuwa sasa wamatarajie kuoma kwenye filamu mpya ya wastara na sajuki ambayo humo ndio kwa mujibu wa yeye utaonekana ujio wake mpya na huku akitaraji kutoa movie zaidi na sasa akiwa chini ya kampuuni ya tuesday kihangala au mr chuzi.
                                             AMANDA KATIKA POZY

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...