WAY

Friday, August 17, 2012

SINTA AFUNGUKA KUHUSIANA NA MOVIE YAKE YA THE RETURN OF THE J.LO LAKINI PIA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SAKATA LAKE NA QUEEN WA VIDEO ZA BONGO FLAVER AGNES MASOGANGE

CHRISTINE JOHN a.k.a SINTAH a.k.a J.LO WA AFRICA amefuinguka kuhusiana na ujio mpya wa movie uyake mpya ya the return of the J.LO ambayo ndani yake amewashirikisha msaniii kama NYOSHI EL SADAAT,BEN KINYAIYA na wengine kibao na hiyo akiwa ameifanya katika prodction yake ya preety sintah ambapo  baada ya hiyo  zitakuja nyingi zaidi.
                                                          CRISTINE JOHN a.k.a SINTAH
Aidha kwa upande mwingine sintash amefunguka kuhusina na bifu lake na mwadada anaejitoka kwenye video nyingi za bongo flever AGNES GERARD a.k.a AGNES MASOGANGE ambae kwa mujibu wa magazeti ya ya udaku kuwa anamshutumu sinata kuwa ndie anaesambaza video zake za utupu hivi ndivyo sinta alivyofunguka.
                                                            
                                                        AGNES GERARD


"AGNES NI KAMA MDOGO WANGU NA TUNAONGEA VIZURI NA ALIVYOFANYA NILIKUA NAMKANYA NA NI KWELI VITU HIVYO KAVIFANYA ILA MIMI SIE NINAESAMBAZA HIZO VIDEO NA YEYE MWENYEWE ANAJUA NA WALA SIO YEYE ANASEMA MANENO HAYO BALI MAGAZETI NDIO YANAMPACHIKIA MANENO LAKINI YEYE HAJAWAHI KUNILAUMU HATA SIKU MOJA NA KILA SIKU NAONGEA NAE" NA KUONGEZA KUSEMA KKUWA HAJUI LOLOTE KUHUSIANA NA KUTAMBAA KWA VIDEO HIYO
zaidi ya hilo pia SINTAH amayatupia lawama magazeti hayo kwa kuandika vitu visivyo vya ukweli.

Baada ya kuachana na swali hilo la skendo hiyo alifunguka pia kuhisiana na production au wao kama maproducer kuwa wanawalalia wasanii wachanga kufanya nao filamu kwa kulipa gharama ndogo katika kuepuka cost ambazo zipi kwenye kuandaa filamu na kusema vinara wakiwa ni wawili basi wengine watachukua chini ili kuepuka gharama zisizo za lazima na kusema kwa style hiyo tutafika lakini baadae sana.
LAKINI SINTAH ambae ni balozi wa DARFUR pia sintah ni msomi ambae anafanya vitu vingi sana ikiwemo foundation ambayo ameungana  na JOKATE MWANGELO katika kuweza kusaidia wasio jiweza lakini pia SINTAH anamiliki website ya www.sintah.com
mbali na hilo PRETTY SINTAH yupo mbioni kuanzisha kipindi cha  televisheni ambacho kitaitwa HARUSINI NA SINTAH.
 
                                              SINTAH HARUSINI
MENGI KUHUSU SINTAH SOON UTASIKILIZA INTERVIEW YAKE NA MIMI KWA NJIA YA SIMU LAKINI ENDELEA KUFATILIA BLOG HII KWA MORE UP TO DATE ZA BONGO FILAMU.








0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...