WAY

Friday, August 3, 2012

Mapacha watatu waibuka na mbili mpya moja wakiwa wameshirikisha ally kiba na nyingine wamemshirikisha malkia khadija kopa,aidha wafunguka na na kusema washamalizana na kalala jounior na sasa sio mwanamuziki wa mapacha tena wako mbioni kuzindua album yao ya wosia wa babu


0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...