WAY

Tuesday, September 4, 2012

MIRINDA NYEUSI AHIDI MENGI NDANI YA TWANGA PEPETA KISIMA CHA BURUDANI MBIONI KUTENGENEZA WIMBO UTAKAOKAA NDANI YA ALBUM YA TANGA NA YEYE ASEMA NYUMBANI NI NYUMBANI

Baada ya kutemwa na band ya mashujaa musica band aliekuwa rapa wa kutumainiwa wa band hiyo ya mashujaa MIRINDA NYEUSI AU IBRA MIRINDA atua rasmi twanga pepeta na kuahidi mambo kibao katika band hiyo ikiwamo na kuja na nyimbo kibao ambazo zitazidi kuiweka band hiyo kongwe juu zaidi na huku akisema twanga nikisima cha burudani na pia ni moja kati ya band ambazo wanamuziki wake wanafanya kazi kwa amani na ushirikianao wa hali ya juu.
                                    IBRA MIRINDA SASA NAE NYUMBANI NI YUMBANI
MIRINDA NYEUSI ambae alitokoea congo kinshasa na kutua na BAND ya VIBRATION ambayo ilikua chini ya aset ambapo baadae ndipo ilipouzwa na kwa mama sakina na papa masiha na kutnengeneza MASHUJAA MUSICA na hapo ndio ibra alifanikiwa kufanya album moja na band hiyo iliyoitwa SAFARI YA VIKWAZO ambapo ndani yake aliweza kuweka nyimbo moja ya sebene ambapo pia AMEWEZA KUFANYA NYIMBO MBILI AMBAZO ZINATAMBA KWA SASA NDANI YA MASHUJAA IKIWA NI HUMUKU YA MNAFIKI,NA KWA WAKWE
                                       ME AND MIRINDA NYEUSI

Lakini pia ibra mirinda amesema yuko mbioni kuandaaa album yake binafsi kabla ya mwisho wa mwaka huu na kazi alishaianza toka yuk mashujaaa lakini kutokana na matatizo yaliyotokea wakati yupo mashujaa aliweza kusiamama kidogo na sasa mwnyewe anasema ametoka juani na sasa yupo kivulini sasa yuk mbioni kuendelea kurekodi nyimbo zake ambazo atawashirikisha wasanii tofauti tofauti na akipata nafasi ataweka wimbo mmoja katika album mpya ya twanga

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...