WAY

Wednesday, September 12, 2012

DOKII ATAMBA NA COMEDY YAKE YA SISTER DUU WA BUSH MBIONI KUACHIA NYINGINE KALI SASA AACHIA VIDEO YAKE YA WIMBO WA OBAMA NA MOVIES MBILI KWA MPIGO KWA WALE WANASUMBULIWA NA VITAMBI DAWA ANAYO!!

Msanii wa filamu DOKII ameamua kuonyesha kipaji chake kwa kuweka sokoni filamu ya comedy ya sista duu wa bush ambayo kwa sasa inatikisa kwa katika soko la filam, dokii amesema amamemua kufanya filamu yake comedy ili kuweza  kuwaonyesha watanzania kwamba yeye kazi ndio iliyomfanya awe sio superstar na wala sio skendo kama wengine ambavyo wanafanya kwa kuamni kuwa magazeti ndio yatakayouza kazi zao.
                                                          DOKII IN RED CARPET
PIA DOKII amesema SAY MO FIRE AND BLACK NOAH BABY ndio movies ambazo zitakuaj hiv karibuni ambazo amecheza kwa kiwango cha juu akiwa amewashirkisha wasanii wa muziki wwanaoingia kwenye foilamu ka vile GERLY WA RYMTH, PATCHO MWAMBA na wengine kibao.
                                   dokii katima moja ya maonyesho yake ya muziki
Mbali na movies hizo dokii pia ameachia ngoma yake moja akiita jina la OBAMA ambayo tayari amekwisha ifanyia video yake na mbali ya hilo pia dokii amsema ataanza kuimba nyimbo za kijamii baada ya kuimba nyimbo nyingi za kikampeni za CHAMA CHA MAPINDUZI.
MBALI na hilo pia dokii amesema kuwa yeye ni mjasilia mali ambae pia anauza vifaa vya kupunguza matumbo kwa wale wakinamama waliojifungua na hata wanaume wanaosumbuliwa na vitambi basi wawasiliane nae kwa kuwa viafaa hivyo anavyo na anaviuza kwa bei rahisi zaidi
  KWA MAWASILIANO KUHUSIANA NA VIFAA HIVYO PIGA SIMU.....0655966064

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...