WAY

Thursday, September 6, 2012

MAPACHA WATATU WAZIBWAGA BAND NNE KUBWA KATIKA DILI YA VODACOM, YAAN TWANGA,AKUDO,FM ACADEMIA NA KALUNDE BAND HII LICHA YA KUONDOKA KWA KALALA KATIKA BAND HIYO

Band ambayo bado inatikisa jiji kwa sasa na nyimbo zao mbili moja ikiitwa NAONEWA na CHANZO MWANAUME hao ni MAPACHA WATATU wamesimamisha show za dar kwa muda wa mwezi mmoja kwa kuwa wamepata tour ya mikoa kumi na mbili.. katika promotion ya VODACOM M-PESA..mapacha watatu ndio band pekee iliyofanikiwa kupata tender hiyo iliyokuwa inagombewa na takriban bendi Tano ..twanga ..mashujaa.fm academia..kalunde band..na acudo impact,,na mapacha watatu wakafanikiwa kupata nafasi hiyo..
HAO NDIO MAPACHA WATATU WAJUBA WAWILI
Tour zitaanzia morogoro.siku ya jumamosi 8-9-2012 ikiwa ijumaa ya 7-9-2012 utakuwa ufunguzi rasmi wa campaign ya vodacom m-pesa..ktk makao makuu ya vodacom ..mliman city.."Sisi kama mapacha tunashukuru kupata nafasi hii kwani yaonyesha wazi kuondoka kwa kalala hukujazuia kitu mpaka kampuni kubwa kama vodacom kutuamini na kutupa fursa ya kuwa mabalozi wao ni jambo la heshima ukizingatia bendi zilikua nyingi..
                                                   KHALID JUU JOSE MARA CHINI
tunawashukuru wadau wetu wote wa mapacha watatu na tutawamis sana ila tukirudi tutakuwa tumeimarika mara dufu..shukran kwako pia kupitia blog yako kwa kutupa nafasi kwa kwenda hewani..shukran VODACOM.
 

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...