WAY

Wednesday, September 19, 2012

MJUE MWANAMUZIKI ALIENZIA KUCHEZA SHOW NA SASA AGEUKIA UIMBAJI NI MWANADADA TOKA TWANGA PEPETA NAE ATOKA KIVYAKE AACHIA NGOMA KALI AKIMSHIRIKISHA CHID BENZ AKIITA USINIACHE YEYE ASEMA ANAFANYA KWA AJILI YA MASHABIKUI NA KUUPENDA MZIKI NYINGINE BADO ZIPO JIKONI

MWANADADA ambae alianzia tasnia ya muziki kwenye kucheza show miaka ya tisini na baadae kugeukia  muziki huo ambapo kwa sasa anaimba na bad ya twanga pepeta huyu ni JANET ISINIKA ambae ameamua kuonyesha kipaji chake dhahiri na kujipima katika muziki na kuonyesha kwa sasa ameiva katika kuweza kufanya muziki na kusema anweza kusimama hata peke yake ndipo alipoamua kutngneza muziki zouk aliyoiita USINIACHE huku akiwa amemshirikisha mwanamuziki nguli wa bongo flever na hip hop CHID BENZI na kufanya muziki huoo kuwa na ladha tofauti kabisa ya kiafrica.
                                      JANET ISINIKA KATIKA HEKA HEKA
MBALI NAHILO  janet pia amesema kwa sasa yupo njiani kumaliza album lakini baada ya kumaliza hiyo album ndio shughuli nzima ya kufanya video ndio ataianza,huku kwa sasa akisema katanguliza wimbo huo huku wimbo mwingine aliouimba katika mahadhi ya kwaito bado uko studio na anweza kuuachia very soon.
LICHA ya kufanya kazi kama solo project lakini kamwe hafikirii kutoka twanga pepeta na pindipo atakapo ondoka twanga basi ndio utakua mwisho wa maisha yake ya muziki kwa kuwa kwa sasa nafasi aliyonayo twanga na kutoka kule alikotoka anaona ni sawa na akiamini kadri siku zitakavyokua zinaenda ndivyo atazidi kuimarika zaidi kimuziki akiwa na twanga pepeta

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...