WAY

Thursday, September 13, 2012

LICHA YA KUTOA NYIMBO MBILI ZA TAARABU LE GENERAL BANZA STONE AMESEMA HAFIKIRII KUFANYA ALBUM YA TAARABU ILA ALIFANYA HIVYO KUONYESHA KIPAJI KWA MASHABIKI WAKE

GWIJI na nguli wa muziki wa dansi tanzania le GENERAL BANZA STONE a.k.a TICHA WA MATICHA a.k.a MAKAVELI a.k.a ROHO YA PAKA amesema licha ya kufanya nyimbo za taarabu mbli ambazo zinazotikisa katika medani ya muzki wa taarabi ikiwemo KUZALIWA MJINI na PLAYBOY ambazo zote ni utunzi wake THABIT ABDUL mtoto wa ilala ambae ndnio kiongozi wa MSHAUZI CLASSIC banza anasema alifanya hviyo kwanzaa kuonyesha kipaji chake na pia kujitafutia pesa zaidi katika kuweza kujikimu kimaisha na vile vile alifanya ka ajili kuheshimiana na rafiki wake wa siku nyingi KATIKA MUZIKI  THABITI ABDUL.
                                  BANZA AKIWA NA KUNDI LAKE EXTRA BONGO
MBALI na hilo pia LE GENERAL amesema tayari wamekwisha andaa nyimbo mpya akiwa na kundi lake na EXTRA BONGO WAZEE KIZIGO ambayo watairekodi soon baada ya kuzindua album yao ya MTENDA AKITENDEWA.

licha ya album ambayo inatarajiwa kuzinduliwa na extra bongo pia washakamilisha nyimbonne ambazo zitakuwepo kwenye album ijayo ikiwemo ya ALLY CHOKI,ROGGERT HEGGA,KHADIJA MNOGA NA BANZA STONE MWENYEWE,
BANZA amesema mashabiki wake pia wake tayari kupokea kwa mega mix yake ambayo ataiota kwa kurudia nyimbo zake zote ambazo ziliwahi kutamba kipindi cha nyuma na kuweza kutikisa ulimwengu wa dansi.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...