Home »
» MJUE UP COMING MOVIES STAR ALIEJIPANGA KWA KAZI NZURI BILA SKENDO NA HIVI KARIBUNI KUINGIZA SOKONI MOJA KALI NI KATIKA MIZIMU YA NYAKANGA?
JINA geni kabisa katika tasnia ya bongo mivies lakini akijiamini ki hali ya juu kwa jinsi alivyojipanga kuweza kulikabili game la movies lenye kila aina ya vibweka na vibwanga kibao zikiwemo skendo za kutosha lakini yeye amesema amejipanga vizuri zaidi kikazi na kuwekza kuwa movies star wa kazi na wala si skendo kama ilivyo kwa wengine.
ABIA TELA TELA a.k.a MALKIA WA KINKWIK
ABIA ambae yupo chinii ya kampuni inayotengeneza movie za kiafrika ya KINKWIK CREATIVE SOLUTION hivi karibuni anatarajia kuibukia katika movie moja ya kiafrica zaidi iitayo MIZIMU YA NYANGAKANGA ambapo amsema hapo ndipo ambapo ameonyesha uwezo wake lakini na huku akisema huo utakua ni mwanzo tu na kazi nyingi zitazidi kuja il kuweza kuelimisha jamii kupitia sanaa na si vinginevyo.
ABI amesema amaua hasa kuingia katika tasnia ya movie za kiafrika ktuokana na movies ambazo nyingi za za sasa zinamaadili ambayo si ya mtanzania na pia hazitazamiki na rika zote lakini yeye na kampuni yake anasema wamejipanga vizuri katika kuleta mapinduzi katika tasnia ya filamu.
Related Posts:
DEKULA KAHANGA 'VUMBI' APANIA KURUDISHA LADHA ZA MUZIKI WA DANSI ZILIZOPOTEA KATIKA KIZAZI KIPYA YUKO MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE YA THE BEST OF DEKULA,ASEMA MEDIA NDIO ZILIKUZA MUZIKI WA TANZANIA NA NDIO ZINAZOKANDAMIZA MUZIKI HUO KWA SASA
Mwanamuziki wa siku nyingi ambae aliondoka nchini miaka ya 90 akitokea band ya Mrquis original baada ya kutoka congo na kuweza kufanya kazi kwa muda mchache na band waliyoianzisha ya CHAMWINO JAZZ na ndipo alipovutika na mar… Read More
BAADA YA KUIWEKA PEMBENI SUPER STARS BAND NA KUTUA KWA WANAJESHI WA RUVU STARS BAND WATAKA KURUDISHA ENZI ZA MABAND YA SERIKALI LAKINI NA USHINDANI KAMA ILIVYOKUWA ZAMANI MAGEREZA,POLIS JAZZ BAND KIMALUMALI NA NYINGINE WAACHIA TATU KWA MPIGO NI BAND INAYOUNDWA NA WANAMUZIKI WAZOEFU WA DANSI TANZANIA AKIWEMO ROGERT HEGGE CARTAPILA JE WATAWEZAA???
Band inayoundwa na wakongwe kama Rogert hegga( cartapila kilimanjaro),Amigolas,muhina panduka(toto tundu)khadija mnoga(kimobitel)waziwa kalala,jojoo jummane toka twanga pepeta,sele momba toka twanga pepeta,champion aliekuwa … Read More
Interview That Kid Bill meets #Christine Michelle from #Merita movement!! Christine Michelle is a 28 year old philanthropist, hairdresser, sound, art and style enthusiast. Impartial to academia, she spent the greater part of her youth creating and experimenting with art, crafts and textiles. Many blessed opportunities to travel internationally imbedded the travel bug deep in her soul which eventually landed Christine in the “heart of Africa” a city called Goma on the East border of Democratic Republic of Congo. Since time, she has spent an accumulated 19 months on the ground and several years moving back and forth between Vancouver and DRC. Christine’s second visit to the continent of Africa was one in which forever changed her life and as a result, her creative interests (plus a love of scissors and sewing machines) provided her the opportunity to develop a program called Healing Arts. A fixed class room at the hospital in Goma as well as rural community outreach spaces where women who have experienced sexual violence come together joyfully and learn a variety of skills and trades to create opportunities and income for themselves while they are within their healing process. Promoting community and individual growth through holistic development or an ‘appreciative inquiry approach’. The link to the four minute video of our conversation done at the #BavubukaHeadQuartersDynasty… Read More
MSANII WA FILAMU KUTOKA KENYA ANAEFANYA SHUGHULI ZAKE NCHINI UJERUMANI AKANA KUWA DEMU WA WASANII NA AKANUSHA MADAI YA KUTAKA KUIVUNJA NDOA YA BOB JOUNIOUR ASEMA WASANII WA AAFRIKA MASHARIKI YEYE NDIO HUWA ANAWAPA SAPPORT WAFIKAPO UJERUMANI
Msanii naekuja juu katika tasnia ya filamu afrika mashariki ambae anafanya shughuli zake ujerumani ASHLEY TOTOO amefunguka kuhusiana na skendo yake inayomkabili kuwa ni demu wa wasanii wa kutoka afrika mashariki ambao huwa w… Read More
MJUE TABU MAMBO SASA MCHEZA SHOW WA ENZI HIZO ALIEGEUKIA MIC NA KUWA MKALI WA MASAUTI SASA ANAPIGA NA BAND YA HOTELI LAKINI ASEMA YUKO MBIONI KUACHIA NYIMBO ZAKE MWENYEWE ASEMA MZIKI WA DANSI UNARUDI KWA KASI
TABU MAMBOSASA si jina geni katika ulimwengu wa muziki wa dansi kam mfatiliaji ila kwa wale ambao inawezekana hawafahamu kabisa TABU ni mcheza show wa zamani(DANCER) mwanzoni mwa kiaka ya 90 hadi mwishoni mwa miaka ya 2000 a… Read More
0 comments:
Post a Comment