WAY

Tuesday, September 18, 2012

TOTOO ZE BINGWA AICHA RASMI AKUDO NA SASA ANAMALIKI BAND YAKE YA SANAA SANA BAND WANASHOW 27 TANZANIA MPKA WASHAPIGA SITA ANASEMA MASHABIKI WAKE KAENI MKAO WA KULA

TOTO ZE BINGWA a.k.a raping mia saba sabini na saba.katika siku saba mh nyingine ye mwenyewe anazijua na ndie mklai wa rap za swahili katika dansi bongo na pia antamba na albam yake ya MAMBO HAIELEWEKI alkini pia alikua ni mmoja kati ya waasisi wa band kongwe nchini ya AKUDO IMPACT ambayo ameshafanya nayo album moja na ya pili akiwa amekwisha record wimbo kadhaa kama vile USIWAFATE WAMBEA NAUMEJIFICHA WAPI huku akiachia rap kali kama nipeni tano na nyingine nyingi.
                                               TOTOO ZE BINGWA
Nikiongea nae leo kwa njia ya simu akiwa katika show totoo amesema ameamua kuachana na akudo na kuweza kusimama peke yake kwa kuwa ameona anauwezo wa kufanya hivyo na hivyo amemua kuanzisha band yake mwenyewe ambayo takaua nafanya nayo maonyesho mbali mbali huku akiandaa na uzinduzi wa band hiyo pamoja na labmu yake na band hiyo akiipa jina la sanaa sana band.


toto ze bingwa wakati wa uzinduzi wake wa ALBUM YA HI MAMBO HAIELEWEIKI
TOTOO mbae kwa sasa yupo kwenye tour ya kuzunguka ya voda com ya kuzunguka nchini katika wajanja tour amesema baada ya kumaliza hapo akirudi dar ndio atapanga sasa sehemu za kupiga nabamd yake ambayo inafanya zaidi muziki waasili huku akisema pia album yake iliweza kununulia na wamerekani kutokana na ubora wake.
hata hivyo toto amesema album yake inafanya vizuri kiasi chake ambayo ina nyimbo mchanginyiko za dansi na nyingine nyingi! huyo ndie totot ze bingwa aliweza kuibeba fm academia kipindi hicho na baadae kuhamia akudo na sasa yupo peke yake na SANAA SANA BAND

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...