WAY

Thursday, September 6, 2012

MJUE MKALI WA ZAMANI WA CHUCHU SOUND KING GIOVANII NA SASA ANATIKISA NA Q BAND LAKINI ANGALI ANAJIPANGA KUJA NA STYLE MPYA ITAKAYOTIKISA TENA BONGO KAMA ENZI ZA CHUCHU

Mwanamuziki mkonge wa muziki wa dansi nchini tanzania alienza kutamba toka enzi za FM INTERNATIONAL na alikuja kutikisa zaidi katika band ilikua inatikisa jiji kipindi hicho CHUCHU SOUND iliyokua ikiundwa na wakali kama MAO SANTIAGO NA JONIKO FLOWER ambao kwa sasa wanapatikana katika band ya MACHOZI BAND kina OMARY MKALI NA KING GEOVANII ambae kwa sasa anafanya kazi zake binafsi za kupiga band katika mahtel uarabuni lakini kwa kipindi hichi ambacho yupo tanznaia anapiga katika band inayoongozwa na mwanadada mwenye sauti ya dhahabu LEAH MOUDY inaitwa Q BAND
                                           KING GIOVANII KAZINI

KING GEOVANII ambae yupo tanzania kwa muda na baada ya hapo atarudi tena nci za uarabu kwenda kufanya kazi za mkataba wa  kupiga katika mahotel huko uarabuni lakini kwa sasa anasema anaendelea kusoma muziki kupitia internet ili kuweza kuja kufanya muziki mwingine ambao utakua tofauti kabisa na muzuki uliozoleka kwa nchini tanzania na congo pia.
               KING GIOVANII WA KWANZA KUSHOTO AKIWA NA Q BAND
 KING GIOVANII amesema pia kwa sasa atafanya kazi ya kupiga hotel kwa maslahi yake yanaeleweka zaidi kuliko kufanya band ya kupiga katika maukumbi ambapo pesa yake inakua ya mashaka kidogo

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...