WAY

Wednesday, September 12, 2012

MSANII WA ZAMANI WA STONE MUSICA ALIYOWAHI KUTIKISA JIJI MALUU STONCH ALALAMIKIA VYOMBO VYA HABARI KUWA NDIO VINAOVUNJA SOKO LA MUZIKI WA DANSI NA KUELEKEZA NGUVU KWENYE BONGO FLEVER TU

MALUU STONCH sio jina geni sana katika tasania ya muziki wa dansi na ni mmoja kati ya wanamuziki ambao waliweza kuzipa jna band kama FM ACADEMIA,STONE MUSICA NA HATA STONO MAYASIKA kutokana na ukmahiri wake wa kuimba na sauti nzuri aliyokua nayo nilimtafuta hvi karibu ili kuja ni nini anfanya maana yuko kimya sana anasema kwa sasa kaiacha band ya stone ymayasika na hivi karibuni ataweza kutua band kubwa kabisa na kuweza kuendelea kuwapa burudani wadau wake.

                                                   EMERY MALUU STONCH
MALUU ambae aliweza kusmama vizuri kipindi hicho katika nyimbo kama vile CHOZI LA MNYONGE hii wakati wa fm academia ya 2000 kama sikosei na vile vile BINADAMU YA wajelajela original ya kina ndada kosovo kichaa ambapo ilifanya vizuri sana

LAKINI MALUU alisema kwa sasa mziki wa dansi hauna nguvu sana kama zamani kutokana na vyombo vingi vya habari kushikilia muziki wa kizazi kipya na wengine kuua kabisa muziki wa damsi ingawa watu wenye ufahamu wa muziki wanajua nini muziki wa kweli
                                      KING GIOVANII,GSEVEN,MALUU
PIA MALUU amesema yuko njiani kutoa album yake mwenyewe ingawa inakwenda taratibu sana kutkana na ubabaishaji wa maproducer ambao anataka kufanya nao kazi lakini mashabiki wake wakae tayari kupata utamu wa maluu stonch.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...