WAY

Thursday, September 13, 2012

BAND INAYOTIKISA KWA SASA KATIKA TASNIA YA MUZIKI WA DANSI MASHUJAA MUSICA BAND JUMAMOSI HII WAMEANDAA BONGE LA SHOW LA MAVAZI YA ZAMANI NA ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA ATAKAE VAA KIZAMANI ZAIDI

jumamosi hii band  inayotikisa kwa sasa tanzania MASHUJAA MUSIC BAND wameandaa bonge la show special show ya mavazi ya zamani, siku hiyo shabiki anatakae tokea viwanja vya pale bissness park anatakiwa aende akiwa amevaa mavazi ya zamani kwani kutakuwa na zawadi na bendi itashusha bonge la show wakiwa na dancer mpya anaitwa SUPER K alikuwaga twanga zamani kabla hajaenda dubai,mgeni rasmi atakuwa MBUNGU WA MVOMELO AMOSI MAKALA na mc atakuwa ANCLE J NYAISANGAH mzee wa nyuzi bin nyuzi.
 
                                        MASHUJAAA MUSICA BAND
show itafanyika pale pale BUSINESS PARK

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...