WAY

Friday, September 28, 2012

SHILOLE,AUNT EZEKIEL KUITIKISA MTWARA LEO NDANI YA MAKONDE BEACH CLUB

MWANADADA anayetikisa katika game la filamu na kwa sasa nikatika music SHILOLE akisindikizwa na mwanadada nguli katika filamu AUNT EZEKIEL watakapo shikana pamoja na kupanda jukwaa moja kwa ajili ya kuwaburudishi wakazi wa mtwara na vitongoji vyake hii leo na ikumbukwe hii ni mara ya kwanza kwa msani wa filamu shilole kufanya show mkoani peke yake na kwa kujitegemea lakini hapa akisindikizwa na aunt ezekiel ambae sio mwanamuziki,
                                       KAZI ITAKUA HIVI AISEE
SHILOLE amesema kwa mara ya kwanza ndipo atakapopiga show ya zaid masaa mawili ili kudhirisha uwezo wake wa kushambulia jukwaa na kwamba hajaingia katika muziki kwa kubahatisha bali kaingia kikazi zaidi huku aunt ezekiel akiwahidi mashabiki wake kuongea nao vizuri na kucheza nao miziki ya shilole na vitu kama ivo.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...