WAY

Thursday, September 20, 2012

BEN BLANCO MSANII ALIEFANYA MOVIES NYINGI NA KANUMBA ASEMA YUKO MBIONI KUZIFANYA MOVIES KWA AJILI YA KUMUENZI RAFIKI YAKE ALIA NA MADISTRIBUTER KWA KUWALALIA KATIKA KAZI ZAO AAMINI KAZI NDIO INAFANYA MTU AWE MAARUFU SIO SKENDO

MSANII wa siku nyingi katika tasnia ya filamu ambae alianzia katika vikundi ambae kwa mara ya mwisho alitokea pale KAOLE SANAA GROUP,, BENI BLANCO ndie msanii alifanya mvie nyingi na msaanii nguli wa aliepotea katika ulimwengu kwa majozni makubwa na utata ambao hadi leo unasubiri kutatuliwa je ni kipi hasa kilichotokea,lakini yoyte ya yote msanii huyo amesema kwa kuwa alilopanga mungu kamwe mja huwezi kulipinga basi yaliyopita si ndwele tugange yajao msanii huyo ambae alitamba katika moivies kama BIGG DADDY na ANCO JJ na nyingine nyingi amsema kwa sasayupo katika maandalizi ya kutengeneza filamu ambayo kwa namna moja ama nyingine itakua ni katika kumuenzi rafiki yake kipenzi STEVE KANUMBA
mbali na hilo BENI pia aemesema kuwa kwa sasa watanzania washaanza kujua filamu ni nini kwa kwa wale wanaodhani kwamba filamu zao zitatoka kwa ajili ya magaezti mwisho wa siku itajulikana tu ipi pumba ipi mchele na mbali na hilo pia amesema kwa sasa serikali inaenda kuingilia kati swala la filam kwa voyvoyte hayo yote yatenda kuisha mara moja!
BEN AMESEMA kuondoka kwa steve kanumba licha ya kibanamu amemkosa rafiki mkubwa lakini hata kikazi yake ya filam pia ni pengo ambalo kuna kipindi akiwa locationa huwa na anamkumbuka kwa kusema kama angekuwepo stive lazima idea nyingine ingepatikana" lakini mbali ya yote badi ataendela kufanya kazi kwa kiwango kile kile na kujaribu kusahau.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...