WAY

Tuesday, September 18, 2012

SHARO MILIONEA BAADA YA KUTIKISA KATIKA FILAMU ZA VICHEKESHO NA BAADA YA KUTAMBA NA CHUKI BURE NA DULLY SYKES SASA AIBUKA NA ALLY KIBA NDANI YA KIZUNGUZUNGU

BAADA ya kutikisa katika tasnia ya vilamu za uchekeshaji sasa SHARO MILIONEA ageukia ulimwengu wa muziki kikamilifu baada ya kutamba na wimbo mbili tatu ukiwemo  HAWATAKI NA CHUKI BURE saasa sharo milionea aibuka na style ingine ya KUPEDELEKA na sasa akiwa na  ALLY KIBA for realy ameachia ngoma nyingine ambayo itaingia hewani hiv karibuni ingawa kwenye baadhi ya kumbi za starehe ishaanza kupigwa na kuanza kutikisa huku akisema hiyo ndio itakua kali kushinda zote.

SHARO MILIONEA ambae hapo mwanzo alijulikana kama SHAROBARO baada ya ya kamgogoro na bob juniour ndipo alipoanza kujiita sharomilionea na aliweza kupta sifa kubwa sana kutokana na style yake ya uigizaji ambayo ilimfanya kufahamika hata na watoto wadogo na saa anatikisa na nyimbo zake kama CHUKI BURE NA HAWATAKI.
                                              SHARO N KING MAJUTO
SHARO kwa sasa ni mmoja kati ya wanamuziki wa kundi lijuliaknalo kama watanashati AMBAO WAPO CHINI YA PAPA OSTADH JUMA NA MUSOMA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...