WAY

Thursday, September 27, 2012

SINGLE MTAMBALIKE a.k.a RICH RICH ASEMA ANACHUKIA SANA KUTENGENEZA STORY ZA ONE AND TWO ILA SOKO LIMEWALAZIMU LAKINI PIA AWAONYA WASANII WANAODHANI USANII NI KUUZA SURA KWA KUWA NI MZURI BASI UINGIE KWENYE FILAMU AAPA MWISHO WAO UNAKARIBIA KWA WALE WABABISHAJI WA SANAA MBIONI KUACHIA MOIVES YAKE MPYA YA UYOGA AKIWA NA MONALISA

MSANII  wa siku nyingi katika tasnia ya filamu RICH RICH a.k.a SINGLE MTAMBALIKE amefunguka na kusema yeye ndie msanii wa kwanza kutokupenda stykle ya movies za sasa za one and two kwa kuwa kuna story nyingine haziitaji hata party 2 na matokeo yake maproducer wanakata  story wakati kiukweli inavotakiwa story kama ni party one n 2 ziwe zinatofautina ili akiwa na maana mtu hata ukiona party moja tu uwe umekwisha elewa nini kitu gani kinachoendelea
 AIDHA RICH RICH alisema yote haya yametokana na marketing adoption ambao ilitokea baada ya wao kukaa pepmbeni kwa muda katika uigizaji na baada ya hapo walipoingia kina kanumba ray ndipo walipoingia na mtindo huo wa one and two ambao walikcopy kutoka nigeria na hivyo yeye kama ye kushindwa kuweza kuzuia hilo ingawa yeye mwenyewe ansema movies zake nyingi ni party one tu mfano ukiangalia MAHABUBA,SOLEMBA na nyinginieze nyingi.
 PIA RICH RICH alizungumiza suala la wasani wa sasa na maproducer wa filamu la kufikiri kwamba uuzaji wa sura akimaanisha uzuri wa sura ndio utafanya mtu atambulike na asikike mwisho wa siku ataishia kwenye skendo na kazi ikawa ziro au mwisho wa siku unaweza kufanya filamu ambayo inaweza kushusha kampuni nzima itakayo tengeneza filamu kutokana na kulazimisha mzuri wa sura aweze kufanya filamu kama mtu hawezi hawezi tu na ndio maana mpka sasa kuna baadhi ya wasanii wameibuka na kusema kuna ubaguzi katika sanaa kumbe ni kutokana na kiwango kidogo cha hao wasanii.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...