WAY

Friday, September 7, 2012

MWANAMUZIKI MASOUD NAMBA YA MWISHO WA MASHUJAA AZUNGUMZIA AJALI NA LICHA YAKUPATA AJALI BURUDANI NDANI YA MASHUJAA INAENDELEA KUWEKA NYIMBO MBILI NDANI YA ALBUM YA MASHUJAA

Ikiwa ni kama siku 5 hivi tangu band ya mashujaa ipate ajali mwanamuziki nguli mkali wa sauti ndani ya band hiyo masoud bevans a.k.a namba ya mwisho asema ajali mbili walizopata ni ilikua mipango ya mungu na si jambo lingine lolote tofauti zaidi ya ajali na kwa uwezo wa mwqenyezi mungu wako salama na wengine bado wanapatiwa matibabu na huku wengine wakiendelea na kazi kama kawaida
                                  MASOUD AKIIMBA KATIKA MOJA YA SHOW ZAO
MBALI na hilo masoud amesema katika kuweza kuzidi kuifanya mashujaa kuwa moja ya band tishio nchini katika album ya mashujaa ameweka wimbo mbili ambazo zote ni za rhumba ambayo imekwenda shule moja ikiitwa PENZI LA MVUTA na lnyingine akiipa jina la NIWASHE MOTO nyimbo zote zitakua ndani ya album inayokuaja ya mashujaa.
                                              MASOUD ME AND MCD
Hata hivyo masoud amesema licha ya kutengeneza nyimbo studio lakin kwa sasa hana mpnago wowote wa kufanya album yake binafsi kwa hiyo kwa sasa nyimbo yoyoyte atakayotengeneza na kuiona nzuri basi ataiweka kwenye band yake ili kuzidi kuikuza band.
                                MASOUD BIVANS a.k.a NUMBER YA MWISHO          

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...