WAY

Thursday, September 13, 2012

BAADA YA KUPATA AKILI KUTOKANA NA VIBWEKA ALIVYOFANYA KWENYE TAMASHALA LA FIESTA AUNT EZEKIEL AOMBA RADHI MASHABIKI WAKE

BAADA  kupata akili ile baada ya pombe kuisha na kujua alichofanya klwneye tamasha la fiesta AUNT EZIKIEL  amewaomba msamaha mashabiki wake ambao waliofika katika tamasha hilo na wale ambao wameziona picha katika ma blog tofauti aunt ameema yote yaliyotokea usiku ule ni kutokana na kuzidiwa na pombe ambayo alikunywa kupita kiasi na hivyo kumfanya asijielewe kwa kile alichokua akikifanya wakati kapanda jukwaani.
AUNT KATIKA RED CARPERT
gwiji huyo wa tasnia za filamu tananzaia ambaye pia alishwahi kushiriki kaktika kinyag'anyiro cha umiss tanzania miaka ya nyuma ambae pia katika kipindi cha nyuma alishwahi kufungiwa na baraza la sanaa tanzania baada ya kuonekana kuvaa mavazi yasinatamaduni nzuri na heshima kwa jamii kwa muda wa miezi kadhaa hili lilimtokea nalo sijui itakuaje
         AUNT AKIWA NA WEMA NA HII NI MOJA KATI YA PICHA ALIZMWAGA RADHI

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...