WAY

Friday, September 14, 2012

AKUDO IMPACT MBIONI KUMALIZIA ALBUM YAO YA HISTORIA NO CHANGE WAJA NA STYLE MPYA YA CHEZA MGONGO MASHABIKI MKAE TAYARI

BAND ambayo ilitikisa sana na nyimbo zake kama mama vanesa,binadamu,safari sio kifo na  nyingine nyingi ambazo vile vile hata rais wa band hiyo alishawahi kutamba na wimbo kama yako wapi mapenzi,muzamil katunzi,na sasa anatamba na usilie,

nikizungumza na makamu raisi wa band hiyo TARSIS MASELA RAIS WA FASHION amesema kuwa kwa wale waliosema akudo inapotea sio kweli kwa sababu kwa sasa bado nyimbo moja  tu ambayo inasubiriwa ili waweze kuzindua album yao wimbo huo ambao amefanya na wanamuziki wapya wa band hiyo katika kuweza kuimarisha band yao na kusema kwa sasa akudo inapiga show kama kawaida na hakuna lolote kuhusiana na kuvunjika kwao na kusema kutengeneza nyimbo kama solo artist nayo ni kuweza kuipa promo band kwa sababu hata nyimbo ya solo ikitamba basi inakua sifa kwa band
                                           AKUDO IMPACT
TARSIS amesema kuwa album yao itakua na nyimbo kumi ambazo kati hizo ni UBINAFSI,USIWAFATE WAMBEA,USILIE,PONGEZI KWA WANAWAKE,UBINADAMU,UMEJIFICHA WAPI,MWIKO,UTAMU KUZIDI ASALI, na nyingine.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...