WAY

Tuesday, September 25, 2012

MAPENZI YA WASANII WA BONGO FLEVER NA BONGO MOVIES YAZIDI SHAMIRI NA SASA NI ZAMU YA JINI KABULA NA BUSHOKE, JINI KABULA AWEKA WAZI KWANINI INAKUA HIVO JE NI KUIGANA AU INATOKEA TU

MSANII wa bongo filamu mwenye vituko vingi na ambae pia anatikisa sana katika ulimwengu wa tamthilia JINI KABULA kaweka wazi mahusiano yake na mwanamuzki wa kizazi kipya RUTHA BUSHOKE na kusema ni kweli ni boyfriend wake,
na nilipomuu;liza kwanini wasanii wengi wa mastar wanatoka wao kwa wao aksema hiyo huwa inatokea kwa sababu watu wengi wa kawaida huwa wanawaogopa mastar na mwisho wa siku wanajikuta wanatembea wao kwa wao na ndio maana hata majuu unakuta kama jayz na jiga,cris brown na rihana na wengineo hii yote ni kutokana na kuogopwa.

  
mbali na hilo kabula pia kasema kwa sasa ameamua kutulia na bushoke na mambo ya kuachana yanatokea hakuna mtu anaependa kuchezwa na vitu kama hivo
pia kabula kwa sasa yuko studio akiandaa nyimbo zake akiwa na kundi lake na scopion girls ambapo kundi hilo linaundwa na mamiss watatu waliowahi kushiriki kwenye vinyang'anyiro mbali mbali  akiwemo yeye JINI KABULA, MISS KARIAKOO,ISABELA MPANDA MISS RUVUMA NA RASHIDA WANJARA MISS MARA
 

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...