WAY

Wednesday, September 12, 2012

BAADA YA KUONA FILAMU ZENYE UTAMADUNI WA KIMAGHARIBI ZIKIPOTEZA UELEKEO HII NI KIAFRICA NA KITAMADUNI ZAIDI KINKWIK CRERATIVE SOLUTION WATIA MOVIE MPYA SOKONI IKIITWA FILONGO NA MOJA IKO JIKONI KUTOKA HIVI KARIBUNI

KAMPUNI inayokuja juu katika filamu za kiafrica na kitamaduni zaidi ya KINKWIK CREATIVE SOLUTION imeingiza filamu mpya sokoni yenye maadili ya kiafrica inayoitwa FILONGO akizungumza na blog hii msemaji wa kampuni hiyo amesema wameamua kutengeneza filamu za kitamaduni zaidi ili kuweza kuapta soko kwa rika zote baada ya kuonekana filamu za kisasa au zenye maadili ya kimagharibi kupoteza muelekeo na kuwa ni filam zinazo angaliwa na rika moja tu kutoka na vibwanga vilivyomo kwenywe vilamu hizo.
                                              COVER LA FILAMU YA FILONGO
na vinara waliogiza humo ni wasanii wenye uzoefu wa kutosha na wasiku nyingi katika medani ya uigizaji akiwemo MOHAMMED FUNGAFUNGA .a.k.a JENGUA, FADHIL MSISILI.HASHIMU KAMBI NA FARAJA MLAY get ur copy ili ujifunze na ujifunie utamaduni wa mwafrika toka tanzania!!!huku FILONGO ikiwa sokoni lakini pia filamu ya BIJAMPORA bado inaendelea kutikisa katika soko la tasnia hiyo
  AIDHA AKIONGEA NA BLOG HII MALKIA WA KINKWIK ABIA TELATELA masema kwa sasa wako mbino kuingiza sokoni movies nyingine ya  kiafrica zaidi ambayo iko jikoni ikiandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu wakipipa jina la MAZIMWI YA NYAKANGA ambayo ndio itakuja kufanya mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...