WAY

Tuesday, September 11, 2012

baada ya kuachia nyimbo nyingine ya mduara na Q CHILA MSANII ANAETIKISA KATIKA FILAMU NA SASA KATIKA MUZIKI SHILOLE YUKO MBIONI AKIANDAA MOVIE YAKE YA SHILOLE IN DAR AMBAYO NI TRUE STORY NA ALBAM YAKE YA LAWAMA IPO NJIANI

MSANII  anaetikisa katika tasnia ya filam na sasa katika game ya muziki ameachia nyimbo yake nyingine ya nne akiwa maemshirikisha Q CHILLA akiitwa dud na kusema baada ya hapo sasa maandalizi ya kuzindua album yake ambayo ataipa jina la lawama itazinduliwa hivi karibuni ambapo album hiyo atakua amewashirikisha wasanii mbali mbali wa kizazi kipya na band kama vile Q CHIEF mwenyewe AT,KALDJO MWANA na wengine na kibao huku akisema uzinduzi huo utakua wa aina yake
                                             SHILOLE JUKWAANI KIMUZIKI ZAIDI


 

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...