WAY

Monday, September 24, 2012

FROLAH MVUNGI AFUNGA ASEMA KWA SASA HANA BIFU NA YOYTE NI ILIKUA MIGONGANO YA KAWAIDA YA BINADAAMU YEYE NA IRENE NA SASA YAMEISHA KUINGIZA FILAMU MBILI WA MPIGO SOKONI MOJA IKIITWA MAMA WA KAMBO NA NYINGINE IKIITWA MAMA WA KAMBO NA NYINGINE NI BUJORA

Msanii wa filamu anaetikisa kwa sasa FLORAH MVUNGI amefunguka na kuhusiana na kwamba yeye bado ana bifu na msanii mwenzake wa IRENE UWOYA na kusema hayo yalishaisha walishaketi na kumalizana na sasa ni marafiki wa kawaida na ile ilikua ni migongano ya kawaida na kwasasa kazi zinaendela kama kawaida na pia katoka ufafanuzi kuhusiana na kaka yake DUDE ambae nakiri ndie alimtoa kisanii na kusema aliingilia kati baada ya kuona hali inavyokwenda ni kwenda kujiharibia na si kutengeneza tena kutokana na mambo yao ya ndani kuyaweka hadharani
Hata hivyo FLORAH amesema kwa sasa ameandaa movies zake ambazo zitaingia sokoni mwezi huu kutoka kwenye kwenye kampuni yao moja ikiitwa MAMA WA KAMBO,BUJORA na nyingi ambazo ameshirikishwa kutoka katika movies za kampuni nyingine ambazo ziko sokoni kwa sasa, akizungumzia kuhusiana na soko la filamu amesema kwa sasa bado gumu kutokana na kulazimishwa na madistributer kutengeneza filamu za PART ONE&2 wakati kiukweli hakuna stori ya kitanznaia hadi sasa ambayo inatosha kufanya movies one n two.


FROLAH MVUNGI ambae pia kwa sasa ana mahusiano ya kimapenzi kwa sasa na msanii wa muziki wa kizazi kipya ambae pia amaeingia kwenye ulimwengu wa filamu H. BABA amesema kwa sasa wasanii wataanza kuhuheshimika kutokana na serikali kutaka kuingilia kati suala la movies na kuweza kuondoa ubabaishaji ambao alisema siku hizi inafikia hatua mpka watu kuwaweka ndugu zao katika filam hali ya kua hawana uwezo wa kuigiza ilmradi abane bajeti
                                    FROLAH AKIWA NA H.BABA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...