WAY

Monday, September 24, 2012

WAKATI MAPENZI KATI YA WASANII WA BONGO FLEVER YAKISHAMIRI WEMA NA DIAMOND,FROLAH MVUNGI NA H.BABA SASA NI AMANDA NA BWANA MISOSI

Akizungumza na blog hii msanii wa filamu wa kike anaetikisa kwa sasa katika tasnia hiyo AMANDA POSHY ambae ni mtoto wa kambo wa dotnata ameweka wazi mahusiano yake na msanii wa mwenzake wa midondoko ya bongo flever ambae kwa sasa nae anajiingiza katika filamu JOSEPH a.k.a BWANA MISOSI nakusema kwa sasa wao no wapenzi.

BAADA ya kumuuliza je mapnzi yao ni yale ya kutafutiana umaaruf au ni ya dhati aksema kati ya wasanii wachache wanaojiheshimu yeye ni mmoja wapo na anaamini pia hata bwana misosi anajiamini na najiheshumu pia kwa mahusiano yao ni ya kutaka kwenda mbele zaidi na kuwa na fuatere na sio kwa ajili ya kujitangaza kwa kuwa wote wamakutana na majina yao na kazi zao ndio zimewatambulisha hivyo haoini kama anaweza kuwa na mahusianao na bwana misoso kwa ababu fulani zaidi ya mapenzi
AMANDA pia kwa sasa amesema kwa sasa nanagali kazi zaidi na hivi karibuni kuna fialmu ya comedy ambayo itaingia sokoni ambayo amefanya na muigiza nguli wa comedy afrika mashariki KING MAJUTO.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...