WAY

Wednesday, September 5, 2012

WAKATI KHADIJA MNOGA AKISEMA KILICHOMTOA TWANGA NI KUBANIWA KATIKA KUIMBA,KIONGOZI WA TWANGA AMIGOLAS ASEMA KILICHOMTOA NI UVIVU WAKE NDIO ULIOMTOA TWANGA PEPETA HEBU TUONE EXTRA BONGO ATAWEZAAA!?

MWANAMUZIKI nguli wa kike katika muzki wa dansi ambae aliweza kutamba katika band mbali mbali nchini toka miaka ya 2000 KHADIJA MNOGA KIMOBITEL ambae hivi karibuni alikua akitamba na band ya twannga pepeta na sasa atua rasmi band aliyotokea kabla ya kujiunga twanga EXTRA BONGO NEXT LEVEL WAZEE WA KIZIGO ambayo ipo chini ya ya gwiji la muziki wa dansi tanzania LE KAMARADE ALLY CHOKI ambapo khadija ametua na nyimbo moja itakayokuwpo kwenye album ijayo ya extra bongo wimbo alioupa jina la MGENI

                                           KIMOBITEL KAZINI
Nikiongea nae katika kipindi cha extra africa khadija mnoga anasema matoka twanga pepeta kiroho safi kabisa na ni moja kati ya band ambazo anazipenda sana lakini alikua hapati nafasi ya kuonyesha uwezo wake na ndio maana ameamua kuhama na kurudi extra bongo ambako anaaminia ataonyesha uwezo wake
                                                     ME AND KHADIJA MNOGA
NAE kiongozi wa twanga pepeta AMIGOLAS BABA NA SOPHII nilipomuliza kuondoka kwa khadija mnoga kwanza kasema yeye hilo lenyewe kaliona kwenye gazeti kwa hiyo khadija hajaaga wala nini kaondoka kihuni tu na tamaa ndio zinazowaponza lakni pia uvivu wake ndio uliokua unamfanya akose nafasi ya kuweza kufanya nyimbo nyingi ndani ya twanga na wala sio kubaniwa
                                   AMIGOLAS BABAA NA SOPHIII
NAE mkurugenzi wa EXTRA BONGO KAMARADE ALLY CHOKI amesema wamempokea kwa mikono miwili KHADIJA KIMOBITEL na kwa kuwa karejea nyumbani na nafasi yake bado ilikwepo basi imekua bora zaidi na kampokea kiroho safi na watafanya kazi kama walivyofanya katika album iliyopita ya mjini mipango
ambapo khadija aliweza kusimama vizuri zaidi na wanafikiria wimbo wakewa mgeni wanaweza kuuweka katika album ijayo ya extra bongo ambayo tayari nyimbo nne zimeshatungwa ikiwamo yake  ALLY CHOKI,BANZA STONE NA ROGERT HEGGA NA HIYO YA KIMOBITEL lakini kwa albmu ya sasa ambayo anatarajiwa kuip jina la mtenda akitendewa ishamalizika tayari!!

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...