WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Tuesday, November 19, 2013

KALALA JUNIOUR APANGA KUIGEUKIA BONGO FLEVER KWENYE ALBUM YAKE BINAFSI MBIONI KUFANYA WIMBO NA OMMY DIMPOZ KATIKA UTANGULIZI WA ALBUM YAKE AKANA KUREJEA MAPACHA WATATU KWENYE BIRTHDAY YAO

Mwanamuziki mwenye vipaji vingi katika muziki lakini pia akiwa ni mchezaji mzuri wa mpira wa kikapu mtoto wa nyoka aliegeuka chatu kalala juniour ambae ambae ameshwahi kutamba na band mbalimbali nchini lakni kwa sasa akiwa anatikisa na band ya twanga pepeta Intertnational huku akitamba na wimbo uliobeba jina la album ya band hiyo NYUMBANI NI NYUMBANI  KALALA amesema...

Thursday, November 14, 2013

NEY WA MITEGO AFUNGUKA KUHUSIANA NA WIMBO WAKE MPYA NAKULA UJANA JE UNAJUA KAWACHANA KINA NANI HUMO ASEMA HUWA HAMUOGOPI MTU ANAPOANDIKA MISTARI YAKE

MSANII mwenye hits inayotikisa kwa sasa kwenye game ya bongo flever ya SALAM ZAO ambapo ndani yake amefanya kuwataja watu waliohusika kwa njia moja ama nyingine katika matukio tofauti ya kisanii ingawa watu wameidiss sana video ya wimbo huo na kusema haijaenda na uhalisia lakini yeye anasema watanzania wasiwe na video zao vichwani video za sasa zipo kisanii zaidi. akifunguka...

JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA WATU KUMI KUHUSIKA NA MAUAJI YA MWANAHARAKATI NA MWANASHERIA DK. SENGODO MVUNGU AKIRI KUHUSIKA NA TUKIO HILO

Jeshi la polisi kanda maalumu ya dar-es-salaam linamshikilia mtuhumiwa mmoja John Ikodia kwa kosa la kushiriki kikamilifu kwenye mauaji ya mwanasheria dk sengodo mvungi. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa kanda maalum dar-es-sallm Suleiman Kova amesema walipata taarifa kutoka kwa raia wema kwamba alishiriki kikamilifu katika tukio lilisababisha kifo cha dk mvungi. Kamanda kova amesema baada ya kumhoji mtuhumiwa alikiri moja kwa moja...

Wednesday, November 13, 2013

BABA LA MABABA a.k.a BABA LEVEL ATOA NGOMA KUTAMBULISHA JINA LAKE HILO JIPYA LAKINI PIA CHINI YA MH ZITTO KABWE WAKO MBIONI KUFANYA TOUR AFRIKA MASHARIKI WANA KIGOMA ALL STARS

BABA LEVEL ndio jina alilokua anajuliakana sana na mashabiki wake toka aingie kwenye game akitokea kigoma na kundi lake ambalo baadae lilivunjika na kujiunga na wanaume halisi na kisha kutoka na kuunda kigoma all star kwa sasa anajiita baba la mababa amefunguka na kuachaia ngoma ambayo anasema itakua ni utambulisho wa jina lake jipya la BABA LA MABABA jina ambalo limetokana...

ALLAN KISO MUNDELE MPIGA GITA MAARUFU TANZANIA ANAETAMBA NA BAND YA SKYLIGHT APANIA KUFANYA KAZI KIMATAIFA ZAIDI KWA KUTENGENEZA NYIMBO ZAKE MWENYEWE SASA ATAMBA NA KARUBANDI ASEMA GITA LINAMUENDESHEA MAISHA VIZURI

KISO MUNDELE sio jina geni katika tasnia ya muziki wa dansi nchini sasa apania kufanya maajabu kwa kuweza kufanya kazi zake kimataifa zaidia kwa kupiga muziki wa kimataifa, asema licha ya kuweza kuisidia band yake ya skylight band ambayo kwa sasa ni gumzo la jiji kwa sasa huku wakiwa wamekwisha anza kupata tour tofauti tofauti na hvi karibu wakitarajiwa kuanza ziara jijini mwanza. KISOMUNDELE ndie aliweza kucompse wimbo ulioweza kutamba sana miaka...

MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI ATOA RATIBA YA MAZISHI YA DK SENGODO MVUNGI JESHI LA POLISI LASEMA LINAWASHIKILIA WATU TISA KUHUSIANA NA TUKIO HILO

Mkurugenzi wa Katiba, Sheria na Haki za Binadamu wa NCCR-Mageuzi, Dk Sengodo Mvungi amefariki dunia jana alasiri nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mwenyekiti Taifa wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia. Akizungumuza na safari radio leo asubuhi Mbatia amesema taratibu za mazishi zimekwishapangwa ambapo mwili wa marehemu utawasili nchini siku ya ijumaa ya tar 15 na kusomewa ibada tar 16 katika kanisa...

Wednesday, October 30, 2013

Tuesday, October 15, 2013

HUKUMU YA KESI YA NGUZA VICKING AKA BABU SEYA NA PAPII KOCHA KUFANYIWA MAREJEO (RULING REVIEW)

•MAHAKAMA ya Rufaa Oktoba 30 mwaka huu inatarajiwa kusikiliza marejeo ya hukumu iliyotolewa na mahakama hiyo katika kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki Nguza Viki maarufu kama Babu seya na wanawe. •Baada ya hukumu hiyo, Babu Seya na mwanawe pamoja na wakili wao Mabere Marando waliomba marejeo ya hukumu hiyo. •Marejeo hayo yanatarajiwa kusikilizwa na Jopo la Majaji watatu wa mahakama hiyo ambao ni Nathalia Kimaro, Mbarouk Mbarouk na Salum...

Sunday, September 29, 2013

Wednesday, September 25, 2013

SALEHE KUPAZA ASIMAMISHWA KAZI TWANGA PEPETA HATARINI KUIKOSA BONANZA YA TWANGA NDANI YA MTWARA

MUIMBAJI mwenye sauti ya aina yake Salehe Kupaza , amesimamishwa kazi  na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The African Stars  (ASET)  Asha Baraka ,inayomiliki bendi kongwe ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta International.Kusimamishwa kazi kwa muimbaji huyo kunatokana na kosa la utovu wa nidhamu aliouonesha mbele ya Mkurugenzi wake.Akizungumza na Bongoweekend...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...