WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Friday, July 27, 2012

SIKILIZA DUDE ALIVYOFUNGUKA KUHUSIANA BIFU LAKE NA MSANII WAKE FROLAH MVUNGI

...

RAPA ANAEKUJA JUU TWANGA NA INASEMEKANA NDIE MRITHI WA MSAFIRI DIOF AIBUKA NA WIMBO WA WALIMWENGU UNAOTIKISA KATIKA KUMBI MBALI MBALI IKIWANI KATIKA ALBUM YA 12 YA TWANGA

HUKU akisistiza kuwa kamwe hawezi kuondoka twanga hata iweje yeye na twanga damu damu na wakati huo huo akiwa ameibuka na nyimbo ya WALIMWENGU ambyo kwa mujibu wake yeye kuwani historia ya kweli huyo ndio JUMMANNE au j4 kutoka twanga pepeta ambaye anatamba na rap kama mtu mzima ovyo lakni pia ndie mume halali wa ASHA SHARAPOVA a.k.a MAJANGA mcheza show wa twanga pepeta...

Wednesday, July 25, 2012

KULWA KIKUMBA a.k.a DUDE AFUNGUKA KUHUSU SAKATA LA BAADHI YA WASANII FILAMU KUMCHUKIA ASEMA LAZIMA KIUNDWE CHOMBO CHA WASANII CHA KUSIMAMIA MAADILI AZUNGUMZIA SAKATA LAKE NA FROLAH MVUNGI

Msanii aliejizolea umaarufu katika tamthilia ya BONGO DAR-ES-SALAAM ambayo ilikua inaonyeshwa kwenye televisheni ya taifa TBC KULWA KIKUMBA a.k.a DUDE amesema kinachomfanya wasanii wenzake wengi wa filamu hasa wa kike wamchukie ni kutokana na kusimamia upande wa maadili na kukasirishwa na skendo zisizo na msingi wowte na mwisho wa siku kuonekana wasanii wote walio katika tasnia ya uigizaji hawana maana kutokana baadhi yao tu kupenda kuandikwa kwa...

Saturday, July 21, 2012

MSANII ANAEKUJA JUU KATIKA BONGO FILM BHOKE WAMBURA WAMBURA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SKENDO ZA KUTENGENEZA NA ASEMA JAMII ISICHUKULIE MAISHA YA FILAM KAMA NDIO MAISHA YAO HALISI

Akizungumza na KONA YA BONGO FILM ndai ya kipindi cha EXTRA AFRICA ndani ya SAFARI RADIO MTWARA TANZANIA.  BHOKE WAMBURA anaetamba na movie kama NDANI YA GUNIA ambayo ndani yake kuna nguli wa maigizo DOTNATA,CLOUD, WOLPER ambapo ameigiza kwa umahiri wa hali ya juu pia yumo katika movie ya MY REAL MOM ya DOKII ambaye kwa mujibu wa bhoke ni moja kati ya wasanii waliomuinspire...

Friday, July 20, 2012

BAADA YA KUSHINDA SHINDANO LA MKALI WA MIC LILILOANDALIWA NA CLOUDS FM KING RAMA MAPAFU YA FARASI AFUNGUKA

Zamani alikua najulikana kama DOGO RAMA baadae ikawa VUALLA lakni kwa sasa ni KING RAMA a.k.a MAPAFU YA FARASI afunguka na kutirirka kuhusina na ushindi alioupata kaitka shindano la kumtafuta mkali wa mic na kusema kwa sasa njia ndio imefunguka na mashabiki wa rama na twanga wakae mkao wa kula kwa kupata vitu vingine vikali zaidi na pia akiwa anatumai pia katika mashindano...

ANCO VENA AKUBALI KISHINGO UPANDE USHINDI WA DOGO RAMA ASEMA YEYE NDIE MKALI WA VOCAL LAKINI VIGEZO NA MASHARTI VIMEMPA DOGO RAMA

Mwimbaji mwenye sauti kali na ya kuvutia toka twanga pepeta ANCO VENA atabaisha bayana ujio wake mpya wa hivi karibuni ambapo yupo mbioni kuachia single itakayomtambulisha vizuri katika soko la muziki wa dansi na watu kujua uwezo wake zaidi huku akitabanaisha kuwa ujio huo ni ule muoendelezo wa kundi la watanzoo ambalo ni watanzania walioungana na kuumba muzki wa rhumba ambao...

Tuesday, July 17, 2012

GREYSON AFUNGUKA KUHUSIANA NA UTUNZI WAKE WA SHAMBA LA TWANGA WIMBO UNAOTIKISA KWA SASA ALIZUNGUMZIA PIA KUNDI LA WATANZOO

Rap nambar moja wa TWANGA PEPETA INTERNATIONAL GREYSON SEMSEKWA amefunguka na kusema alitunga wimbo wa shamba latwanga pepeta baada ya kuona kuwa karibu kila mwanamuziki wa kitanzania anaetamba sasa lazima anakua amepitia twanga pepeta na hata wanaondoka inakua ni matunda mazuri ya twanga lakini pia amepongeza hatua hiyo ya wanamuziki kuchukuliwa na band tofauti tofauti ameipopongeza...

Monday, July 16, 2012

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SHOW YA DIAMOND VUNJA JUNGU MTWARA

                                          HAPA NILIANZA KUWAPANGA KWANZA RAIA                                         ...

Friday, July 13, 2012

SIKILIZA WIMBO WA Q BAND-CHUMBANI SIKIA LEAH MOUDY ALIVYOTIRIRIKA

...

VUNJA JUNGU DIAMOND PLATNAM KUTIKISA KUSINI LEO NA KESHO KUANZIA MASASI LEO NA KESHO NI MTWARA TOWN

MSanii wa kizazi kipya anaetikisa katika medani ya mziki wa bongoflever kwa sasa huku ngoma yake ya kizaizai ikianza kutikisa kinouma nouma kwenye vituo vya radio leo anafanya bonge moja lashow  wilyani masasi katika ukumbi wa emirates hii ikiwa ni katika kuelekea kuvunja jungu NA KESHO TAR 14 kumalizia show yake ndani ya mtwara town  akiwan kundi lake zima la wasafi...

AMIGOLASI BABAA NA SOPHII WA TWANGA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SAKATA LA WANAMUZIKI WALIOACHWA MASHUJAA NA KUTAKA KUJIUNGA NA TWANGA NA KUSEMA KISIMA KIMEJAA PIA AELEZEA LENGO LA TWANGA ACADEMIA NA SASA WAJA NA NYIMBO NYINGINE MPYA BAADA YA SHMAMBA LA TWANGA

Meneja wa twanga pepeta kwa sasa AMIGOLASI amesema kuwa kwa sasa hawananafasi ya kuongeza wasanii twanga na wale walioachwa na mashujaa haadhani kama kuna nafasi tena ya twangwa lakini pia amsema hayo yote ni kutokana na kuendesha band kiholela na ndio maana wakurugenzi wa mashujaa wameshaanza kujikanyaga kwa kuwafukuza wanamuziki au kuwapunguza bila sababu wanamuziki kwa...

Wednesday, July 11, 2012

...
...

COLETER RAYMOND MWANAHABARI ANAYETIKISA KATIKA BONGO FILAMU ASEMA SOKO BOVU NDIO CHANZO CHA KUTENGENEZA MOVIES ZISIZO NA UBORA,PIA AKILI MARA NYINGI SKENDO ZA WASANII HUWA NA UKWELI NDANI YAKE LAKINI PIA AWAWAKIA MADEMU WANAOJIRAHISISHA KWA MAPRODUCER

COLETER ndio jina linalomwingizia hela lakni coleter raymond ndio jina la kuzaliwa alianzia sanaa yake katika moja ya vikundi vilivyotoa wasanii wengi kwenye filamu kwa sasa KAOLE SANAA GROUP  na ndio kundi walilotoka waigizaji wengi wazuri achilia mbali wali0onza hivi karibu hapa nawazungumzia kama kina VICENT KIGOSUII,a.k.a RAY,TEA,MAINDA,BI MWENDA,BEN,SAJUKI,MAREHEMU...

EXTRA BONGO KUTUMIA MWEZI MZIMA KWENYE TOUR ULAYA WAKIANZIA FINLAND WATAPANDA PIPA JUMAMOSI SASA TIRIRIKA

Nikiuongea na mkurugenzi wa extra bonge le  KAMARADE ALLY CHOKI IGWE amesema mbali ya kuwa na uwanja wao wa nyumbani kwa sasa unaojulikana kama BONGO RESORT uliopo maeneo ya kimara korogwe ambapo ukumbi huo utaendeshwa na yeye mwenyewe kuanzia vinywaji chakula mpka kupiga band                                            ...

Tuesday, July 10, 2012

MJUE MSANII CHIPUKIZI KATIKA BONGO FILAMU ANAEKUJA JUU KATIKA TASNIA HIYO HUKU AKIWASHUKIA WASANII WA KIKE WANAOJIRAHISISHA ILI WAPEWE SCEEN NA PIA WANAOJIPELEKA KWENYE VYOMBO VYA HABARI KUUZA SKENDO waanzisha kampunii ya PAPAZII ENTERTAIMENT ili kuwkomboa wasani katika usamazaji

Jina la TAIYA ODERO  jina SUZAN JUMA ODERO  ni jina geni katika filamu lakini pia ni ambalo linakuja kwa kasi sana kutokana na kipaji alichonacho  mwanadada hyuo aliengia katika tasnia ya filam mnamo mwaka jana lakini akiwa tayari akiwa ameshacheza movies mbili tatu zilizotikisa katika medani ya filamu za kiswahili nchini tanzania.                                                          ...

Friday, July 6, 2012

IBRA AWEKA BAYANA KILICHOMTOA MASHUJAA MUSICA BAND NA KUSEMA MAJUNGU NDIO YALIYOMUONDOA WAKATU HUO HUO MENEJA WA MASHUJAA MARTIN SOSPTER NAE AFUNGA KUHUSIANA NA HILO

Rap wa muda mrefu wa mashujaa hatimaye atemwa na mashujaa musica band katika ile wanayosema panga la kupunguza wingi wa wanamuziki wasio na kazi nyingi na wenye uwezo usio na ushindani Ka mujibu wa IBRAHIM au IBRA MIRINDA AU MIRINDA NYEUSI kama wengi wanavomfahamu amesema mchanganyiko wa wasanii ndio uliofanya atoke pamoja na majungu ya watu wanaojifanyawako karibu na mkurugenzi...

Wednesday, July 4, 2012

JE WAJUA MSANII ELIZABERTY CHIJUMBA KWA SASA ANAJULIKANA KAMA FATHIA CHIJUMBA ALMAARUFU NIKITA NI MOJA KATI YA WAIGIZAJI WALIOINGIA KWA MUDA MREFU KWENYE BONGO FILM NA MWENYE MAFANIKO NA TASNIA HII NA NI MSANII PEKEE ASIE KUWA NA SCANDEL ZA AJABU ANAETAMBA KWA SASA!?

Zamani alikua najulikana kama ELIZERBERT CHIJUMBA kabla ya kufunga ndoa na msanii mwenzake KHLAFANI almaarufu kama KEVIN na baadae kubadilisha jina na kuitwa FATHIA CHIJUMBA lakini pia ni maarufu sana kwa jina la NIKITA jina ambalo alilipata wakati akifanya tamthilia fupi fupi za kwenye tv ile iliyokua ikiongozwa na CHUZDAY KIHANGALA iliyokuwa ikiitwa JUMBA LA DHAHABUambapo...

LE GENERRALY BANZA STOE AKANA KUHAMA EXTRA BONGO NA ASEMA HAYUPO TAYARI KUTENGENEZA ALBUM YA TAARABU KAMA INAVOSEMEKANA ILA AMEREKOD TAARAAB KWA ANATAKA KUDHIHIRISHA KIPAJI CHAKE

Msanii nguli wa muziki wa dansi ambaye kwa sasa anatamba ni vibao kadhaa vya taarabu kama vile KUZALIWA MJINI NA PLAY BOY ambavyo kwa mujibu wake vimetungwa na nguli wa mashaii na mtunzi wa nyimbo za taarabu kwa sasa thabit abdul kuwa lengo la kuimba taarabu ni kuonyesha kuwa yeye ni mwanamuziki na muziki wowote anweza kufanya as long as amepewa tungo za nyimbo hizo na  na pia ametabainaisha zaidi kuwa kuimba nymbo hizi ni kujiongezea kipato...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...