WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Wednesday, October 31, 2012

SAJUKI AFADHALI SASA NA KUTOA SHUKURAN KWA SINGO moja kali sana get ready!!

Ni kitambo sasa  tangu kuwepo kwa taarifa kuwa staa wa Bongo Movie, Juma Kilowoko, 'Sajuki' ni mgonjwa , huku pia taarifa za karibuni zikidai kuwa  hali ya  nyota huyo  bado ni tete na kuzua hofu kubwa kwa mashabiki wake. Taarifa rasmi ni kuwa hali nyota huyo kwa sasa  ni njema na  yuko tayari tena  kuanza kuwatumikia ...

Tuesday, October 30, 2012

JACKLINE PENTEZEL a.k.a JACK MABANGO a.k.a JACK MABANGO :ASEMA KWA KIWANGO CHAKE SASA NA JINSI SANAA INAVYOKWENDA KWA SASA BILA MILIONI SITA SICHEZI FILAMU.

Kama ni mpenzi  wa kucheki filamu za Kibongo, haina shaka utakuwa unaifahamu orodha ndefu ya mastaa wa kike wanaofanya vizuri kwenye tasnia  hiyo. Kwenye exclusive interview aliyofanya mwishoni mwa wiki iliyopita staa wa Jumba la Dhahabu, Jacqueline Pentezel ‘Jack wa Chuzi’, amefunguka kuwa sasa anajihisi milionea kufutia mshiko hevi anaoingiza kwa mwaka...

Monday, October 29, 2012

SNURA MUSHI ASEMA MAGAZETI YALIMZUSHIA KUANDAA MOVIES AMBAYO YEYE HAKUIONGELEA ,AWACHANA WANAOVAMIA FANI SIO WOTE WANAOFANYA MUZIKI WANAWEZA KUFANYA FILAMU NA SIO WOTE WANAFANYA FILAMU WANAWEZA KUFANYA MUZIKI,KWA HIYO WAACHE TAMAA

SNURA MUSHI sio jina geni masikioni au midomoni ai machoni mwa watu ni msanii aliewahi kutamba sana ndani ya jumba la dhahabu na sasa anatikisa katika ulimwengu wa muziki ambapo hivi karibuni nilipoongea nae kuhusiana na movie ambayo ilikua ikiongeleak sana kwa vyombo vya habari ambayo kwa juju juju ilijulikana kama UCHAFU WA MASTAR WA BONGO                                                     ...

Thursday, October 25, 2012

AFRICAN SANAA GROUP WAPANIA KUIKOMBOA KUSINI KATIKA TASNIA YA FILAMU WAANDAA MOVIES YAO IITWAYO MADUVALA HATA MIKOANI SANAA IPO SIO TU KUSINI

KIKUNDI cha sanaa za maigizo,ngoma za asili,sarakasi kutoka mkoani mtwara AFRICA SANAA GROUP limepania kuikomboa kusini katika upande wa uigizaji babada ya kuandaa movie zao mbili moja ikiwa haikufanya vizuri sana sasa waja na MADUVALA ambayo wanasema inakuja kuteka soko kabisa na kuweza kuweka wazi kuwa sanaa sio dar-tu hata mikoani inapatikana  na inafanya vizuri pia                                    ...

Wednesday, October 24, 2012

COLETA AIKUNGUKA KUHUSIANA NA ISHU ZA SKENDO ZA BONGO FILAMU

...

COLETA RYMOND ASEMA ANATAMASNI KUWASAIDIA UNDERGROUND WA FILAMU

...

Tuesday, October 23, 2012

ALLY CHOKI ALIA NA MEDIA KUUA SOKO LA MUZIKI WA DANSI ASEMA RADIO ZENGINE ZIMEAMUA KUVUNJA KABISA VIPINDI VYAO VYA MZIKI WA KIAFRICA. KUFANYA SHOW NNE MIKOA YA KUSINI

MKURUGENZI NA MUIMBAJI WA EXTRA BONGO NEXT LEVEL le KAMARADE ALLY CHOKI amesema kuwa media ndizo zinazochangia soko la muziki wa dansi kufa baada ya kuzipa kipaumbele nyimbo za mbele na bongo flever na kusahau muziki wa asili wa dansi na hivyo kufanya hata kutoa album wanakua wanasuasua kutokana na kukosa promo ya kazi zao kwenye radio au tv na hivyo kutegemea show zaidi...

Monday, October 22, 2012

TUESDAY KIHANGALA .a.k.a MR CHUZI ASEMA WATANZANIA NDIO WANACHANGIA SOKO LA FILAMU KUWA LA WASANII WA AINA MOJA KUTOKANA NA KWENDA KUULIZA FILAMU KACHEZA NANI SIO MTUNZI NI NANI KWA HIYO WANAFATA WASANII SIO STORY,AACHIA RASMI SIRIES ZAJUMBA LA DHAHABU,RED APPLE IPO NJIANI

Msanii anemiliki kampuni ya kusambaza kazi zake na ku ndi la wasanii la tuesaday intertaiment amefunguka na kuweka wazi kuwa watanzania wengi hawaangalia story pindipo wanapoenda kununua filamu za kibongo na mwisho wa siku wanaenda kuuliza nia nani ka act na hivyo ma underground kukosa nafasi ya kuweza kuwavinara kutokana na tayari watanzania wana vinara wao ambao wanataka...

Saturday, October 20, 2012

LICHA YA KUONDOKA TWANGA LAKINI KWA KUONYESHA UPENDO KHALID CHOKORAA, AISHA MADINDA, ALLY AKIDA NA LILLIAN INTERNET WAAHIDI KUSHIRIKI TWANGA FACEBOOK FANS PARTY 2012.

WAKALI wa Muziki wa Dansi Bongo African Stars Band "Twanga Pepeta" Jumapili hii 21-10-2012 katika ukumbi wa Mzalendo Pub inatarajia kufanya Patty maalum kwa ajili ya mashabiki wake wa mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter,BBM, Blogs N.k).Patty hiyo itafanyika katika ukumbi wa Mzalendo Pub uliopo Kijitonyama na matayarisho yote yamekwisha kukamilika na itaanza kuanzia...

Friday, October 19, 2012

BAADA YA KUFANYA SHOW YA VODACOM KARIBU MIKOA YOTE YA TANZANIA KWA MAFANIKIO MAPACHA WATATU WASASA WAREJEA DAR LEO KUTAMBULISHA WANAMUZIKI WATATU WAPYA VIPAJI TOKA MIKOANI WAKISINDIKIZWA NA ISHA MASHAUZI NDANI YA MANGO GARDEN

Mapacha watatu baada ya ziara mikoani ktk kuitangaza vodacom m-pesa..sasa  wamerudi dar kwa kishindo kwa kuandaa bonge la show  ya utambulisho wa wanamuziki wapya ambao ni..samaduu,john cena,papii  pamba,hwa ni waimbaj madencerz ni mwamgeni na frank na  show itfanyika mango garden tukisindikizwa na isha mashauzi..wanamuziki  wetu wametoka bebdi...

Thursday, October 18, 2012

KUTOA MIMBA KWA WASANI WA BONGO MOVIE NI KAMA FASHION-MAINDA

Msanii wa kike asiye na skendo mjini hapa MWANAIDI SUKA (MAINDA) amefunguka na kusema kitendo cha kutoa mimba kwa wasanii wa kike ni cha kawaida kabisa kwani usipofanya hivyo unaonekana hauko kwenye fashion,,,,Mainda alisema kuwa wasichana wamekuwa hawajihurumi pamoja na kuwa madhara wanayajua ikiwa wapo wengi waliopoteza maisha na wengine kutokuweza kuzaa...

ISSA MUSSA .a.k.a CLOUD AIACHIA FILAMU YAKE YA PENZI LA GIZA SOKONI KWA SASA INAPATIKANA MADUKA ASEMA NI YA KIWANGO CHA HALI YA JUU

MTUNZI,MUONGOZAJI HODARI WA FILAMU ZA KITANZANIA CLOUD KUPIITIA KAMPUNI YAKE AMAIACHIA RASMI KAZI YAKE YA PENZI LA GIZA MAMBAYO KWA SASA INAPATIKA RASMI MADUKANI AMBAYO INAWAIGIZAJI AMBAO SI MAARUFU SANA ILA WAMEFANYA KAZI NZURI SANA NDANI YA FILAMU HIYO                                  ...

Wednesday, October 17, 2012

BAADA YA TOTOO ZE BINGWA NI ZAMU YA CRISTIAN BELLA ANADAIWA KUONDOKA BILA KUAGA NDANI YA BAND YA AKUDO IMPACT INASEMAKANA NA YEYE SIO TENA AKUDO IMPACT ILA TARSISI MASELA ASEMA AKUDO ITAENDELEA KUWEPO HATA IWEJE

Ukirudi nyumaa utaweza kukumbuka nyimbo kama SAFARI SIO KIFO,MAMA VANNESA,na nyingine nyingi zilizopigwa na akudo impact ambayo kwa siku za hivi karibun inaonekana kususa sua babada ya wanamuziki wake kila mmoja kuamua kufanya kazi kivyake na kundu kuwa pale pale lakini waanzilishi wawili wa kundi hilo kcristiana bella ambae pia alikua ni rais wa band NA TOTOO ZE BINGWA ambae...

Tuesday, October 16, 2012

JACOB STEVEN a.k.a J.B a.k.a DJ BEN a.k.a TAX DRIVER AMESEMA WASANII WANAOCHIPUKIA WAWE NA SUBIRA SIO KUKURUPUKIA UMAARUFU AU KUTAKA KUFANYA KAZI NA WATU MAARUFU BILA KUPITA HAUA ZINAZOTAKIWA,AJIFANANISHA NA DENZEL WASHINGTON NA KUSEMA HATA YEYE HAWEZI KUTAKA KUFANYA KAZI NA DENZEL GHAFLA GHAFLA LAZIMA AHANGAIKE KWANZA HATA WAO WALISOTOA IVO IVO,ASEMA FILAMU YAKE MPYA YA UKURASA MPYA NDIO FUNGA KAZI

GWIJI wa tasnia ya maigizo nchini anaetamba na filamu za DJ BEN,TAX DRIVER,NAENDA KWA MWANANGU na hivi sasa akiwa mbioni kuingiza sokoni moive yao mpya kutoka jerusalem iitwayo UKURASA MPYA ambayo ndani yake kutakuna na msanii BANANA ZORO, muingiza mkongwe DAVINA na IRENE PAUL wakati huo huo wakiwambioni kufanya movies nyingine.                                     ...

Monday, October 15, 2012

NANI ANAMKUMBUKA AMINA NGALUMA JAPANES ALIEWAHI KUTIKISA KATIKA MUZIKI WA DANSI KIPINDI CHA DOUBLE M,YUPO THAILAND AKIENDELEA KUPIGA MUZIKI,ASEMA AKIRUDI BONGO KAMA MUNGU AKIJALIA LAZIMA AANZISHE BAND YA UKWELI

KAMA unakumbuka vizuri kipindi cha DOUBLE M,AFRICAN REVOLUTION,ukimzungumiza AMINA NGALUMA ni mmoja kati ya wanawake wachache walioweza kusimama katika muziki wa band na kipindi hicho unawakuta kina JESCA CHARLS,LUIZA NYONI MBUTU,KHADIJA MNOGA basi na eye ni mmoja kati ya waliosimama kipindi hicho G .MBONGO nilifanya jitihada za kutaka kujua yuko wapi kwa muda mrefu au na...

Sunday, October 14, 2012

TX MOSHI WILLIUM AKIWA SAMBAMBA NA ROMARII WAKIFANYA VITU

...

MTOTO WA TX MOSHI, HASSAN MOSHI AKIFATA NYAYO ZA BABA YAKE HEBU TIZAMA A...

...

HIVI NDIVYO MSONDO NGOMA WALIVYOFANYA MTWARA WEEKEND HII KUMBEE MZEE GURUMO BADO YUMO SANAAA AWAKONGA MASHABIKI NYOYO

                                   MZEE MAALIM SALEH GURUMO AKIFANYA VITU                                 ...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...