Friday, October 12, 2012
Home »
» SIKILIZA ISSA MUSSA a.k.a CLOUD AKIRI KWA BAADHI YA WASANII KUMUOGOPA KWA MADAI YA UKALI KATIKA DIRECTING ILA YEYE ASEMA SI KWELI ILA NI TARATIBU ZA KAZI NDIZO ZINAZO MWONGOZA SASA AJA NA MOVIES YA FUNGATE AKIIBUKA NA VIJAPI VIPYA NDANI YA TASNIA YA FILAMU
SIKILIZA ISSA MUSSA a.k.a CLOUD AKIRI KWA BAADHI YA WASANII KUMUOGOPA KWA MADAI YA UKALI KATIKA DIRECTING ILA YEYE ASEMA SI KWELI ILA NI TARATIBU ZA KAZI NDIZO ZINAZO MWONGOZA SASA AJA NA MOVIES YA FUNGATE AKIIBUKA NA VIJAPI VIPYA NDANI YA TASNIA YA FILAMU
Related Posts:
PAPPY CATALOGE AFUNGUZA KUHUSU ALBUM YAKE YA KUN FAYA KUN AMBAPO AWASHIRIKISHA WASANII KIBAO KUTOKA BAND TOFAUTI WAKIWEMO ALIOFANYA NAO NDANI YA FM ACADEMIA, ASEMA WANAOSEMA KUNA BAND ZINA UBAGUZI KUHUSU WACONGO NA WABONGO NI WAONGO SABABU USHIRIKIANO UPO WA KUTOSHA KABISA KILICHOKUWEPO NI USHINDANI WA HALI WA JUU KATI YA BA CONGO NA BASWAHILI KITU AMBACHO KINAKUZA MZIKI WA TANZANIA APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA EXTRA BONGO KATIKA ALBUM IJAYO PIA YUPO MBIONI KUFANYA SHOW NYINGINE KUBWA NDANI YA CONGO HIVI KARIBUNI MSIKILIZE AKIFUNGUKA HAPA ZAIDI… Read More
BAADA YA POWEFUL SASA NI NO RETREAT NOR SURRENDER MULE MULE FBI ASEMA ITAKUA ALBUM TOFAUTI SANA KUWASHIRIKISHA LADY JAY DEE,NA WENGINE KIBAO ASEMA ALBUM YA CHUKI YA NINI YA FM ACADEMIA NDIO ITAONYESHA UKALI WAO KUWA NI WAZEE WA NGWASUMA ALIA NA MEDIA KUZIBIA MUZIKI WA DANSI MASIKILIZE ZAIDI HAPA AKIFUNGA ZAIDI YA DAKIKA KUMI KUHUSIANA MUZIKI PAMOJA NA SHOW YAO NDANI YA MTWARA TAR 12 OCT 2013… Read More
BAADA YA KUFUKUZWA FM ACADEMIA TOSCANEE NZIMBU MTUNZI WA SHIDA YANGU KATIKA ALBUM YA VUTA NIKUVUTE AFUNGUKA NA KUSEMA CHUKI NDIO ILIYOTAWALA NDANI YA FM ACADEMIA NA KUSEMA WENGINE HAWAPOENDI MAENDELEO YA WANAMUZIKI ASEMA SABABU ZA KUSHUKA KIWANGO NI UONGO KWA SABABU INGEKUWA HIVYO ASINGEWEKA WIMBO MPYA NDANI YA ALBUM MPYA SASA WAANZISHA BENDI YAO INAITWA MATRIX MUSIC AMBAPO YUPO YEYE,BEN BIANVANGA,CHEK DAR NA KAMANYOLA AMBAO WOTE WALIFUKUZWA NDANI YA FM ACADEMIA MSIKILIZE HAPA AKIFUNGUKA ZAIDI JUU YA HILO NA UJIO WAO MPYA… Read More
BAADA YA KUREJEA FM ACADEMIA G7 ALIETAMBA NA RAP KAMA UTAMU WA VANILLA, WAMENIIBIA COMPUTER WAKIFIKIRI NI TV AIBUKA NA SINGEL ZAKE MBILI MOJA AKIITA NGAI NA NYINGINE AKIITA KADUMBA KADUMBA ASEMA MARAPA WENGI WA DANSI BONGO HAWANA UBUNIFU NDIO MAANA MZIKI UNAONEKANA HAUSOGEI NA NA KUSEMA WENGI WANATAFSIRI ZA KONGO NA KUWEKA KISWAHILI KITU AMBACHO HAKIONESHI UBUNIFU ASEMA AMEKUJA KUIFUNIKA UTAMU WA VANILA NA RAPA NYINGINE KIBAO KUPIGA SHOW MTWARA BAADA YA MUDA MREFU HUYO NDIO G 7 MSIKILIZE VIZURI HAPA… Read More
NYOSHI EL SAADA RAISI WA VIJANA WA FM ACADEMIA AFUNGUKA NA KUSEMA HAWAJAMFUKUZA MWANAMUZIKI KATIKA BAND ILA WALIOONDOKA WALISIMAMISHWA KWA MASUALA YA KINIDHAMU NA UTENDAJI WA KAZI HAKUNA ALIEPEWA BARUA YA KUFUKUZWA BAND ASEMA ALBUM YA CHUKI YA NINI IMEKWISHA KAMILIA VITU VYOTE KASORO SEBENE MOJA TU AMBAPO SHOW YAO YA MTWARA NDIO IMESIMAMISHWA ZOEIZ HILO SASA ILA KARIBU KUIZINDUA ALBUM YAO MASHABIKI WA NGWASUMA WAKAE KUPATA VITU VIKALI KUTOKA KWA WAZEE WA NGWASUMA… Read More
.


0 comments:
Post a Comment