KIKUNDI cha sanaa za maigizo,ngoma za asili,sarakasi kutoka mkoani mtwara AFRICA SANAA GROUP limepania kuikomboa kusini katika upande wa uigizaji babada ya kuandaa movie zao mbili moja ikiwa haikufanya vizuri sana sasa waja na MADUVALA ambayo wanasema inakuja kuteka soko kabisa na kuweza kuweka wazi kuwa sanaa sio dar-tu hata mikoani inapatikana na inafanya vizuri pia
AFRICA SANAA GROUP
Nikiongea na kiongozi wa kikundi hicho MOHAMED FUNDI a.k.a BARAKA amesema lengo la kuweza kutengenezea filamu zao huku huku kusini ni kutaka kuweza kuitangaza kusuni na watu kujua mikoa ya kusini hususani mtwara kuan tamaduni nyingi sana ambazo zinaweza kufanya story nzuri kabisa na za kuweza kuuzika sokoni ingawa amekuri kuwa kuna changamoto nyingi zinawakabili ikwamo rasimali pesa ili kuweza kufaniskisha kazi nyingine kwa haraka
Kwa mujibu wa kiongozi huyo wamesema hivi karibuni watazindua filamu yao wa MADUVALA ambayo wataifanya kama preview ambapo wadau watapa kuiona kwanza kabla ya kuipeleka sokoni.

0 comments:
Post a Comment