WAY

Monday, October 8, 2012

NISHA ASEMA SKENDO YA USAGAJI INAMUUZA KICHWA KWA KUWA SI YA KWELI NA ALISHINDWA KUJIELEZA KUTOKANA NA KUTOKUJUA AKANUSHA KUOLEWA WALA HANA MAHUSIANO NA NEY WA MITEGO KUINGIZA SOKONI FILAMU MPYA YA PUSI AND PAKU

Msanii alikuja juu sana kwenye tasnia ya filamu alitamba na filam kama MACHO YANGU,KASHFA anaenda kwa jina la SALMA JABU a.k.a NISHA amefunguka zaidi kuhusiana na skendo iliyowahi kumkuta ya kuwa yeye ni msagani na kusema ni skendo iliyokua inamnyima usingizi kwa kuwa alivyojieleza sivyo ilivyokua kutokana tu kutokua na upeo wa kujielzea kutokana na uchanga katika sanaa kipindi hicho ilifanya aweze kufunguka vitu ambazo vimemcost katika maisha yake na kusema sasa yuko sawa na kusema skendo hiyo si ukweli kabisa.



                                                NISHA KATIKA POZY TOFAUTI
AIDHA NISHA ambae makataa kuweka mahusinao yake wazi na mwanamuziki wa kizazi kipya ney wa mitego na kusema hakuna lolote linaloendelea zaidi ya yeye kupenda zaidi show za ney wa mitego na si vinginevyo
kwa sasa NISHA yuko mbioni kuingiza filamu yake mpya ya PUSSY NA PAKU ambayo ndani yake ameigiza na maguli katika filamu akiwemo KING MAJUTO na JACLINE WOLPER na kusema ameamua kutengeneza filamu ya hivyo kwa kuangalia soko na kujua watu au wadau wa filamu wanahitaji nini huku akisema anaami filamu hiyo itakua zaidi ya MACHO YANGU NA KASHFA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...