WAY

Friday, October 12, 2012

ISSA MUSSA a.k.a CLOUD AWAFUNGUKIA WANAODHANI SKENDO NDIO ZITWAFANYWA WAUZE KAZI ZAO NA KWA KUFANYA HIVYO WASIDHANI KUWA WANAHARIBU TASNIA YA FILAMU BALI WANAJIAIBISHA WAO WENYEWE SANAA ITAENDELEA KUBAKI PALE PALE

MSANII NGULI katika tasnia ya maigizo nchini ISSA MUSA AL MAARUFU KAMA CLAUD amfunguka na kusema kwa wale wote ambao skendo kwa wanaona ni biashara wanajidanganya na watanania sasa wameshafunguka kujua kipi kiziri kipi kibaya na kusema wasidhani wataiabisha tasnia yafilamu bali wanajidhalilisha wao wenyewe na kuonekana hawana maana katika jamii huku wasanii wengine wenye busara na kujua kazi zao wakiendelea kufanya vizuri na pia tasnia ya filamu haiwezi kufa au kudhalaulika kutokana skendo zao kwa hiyo wafanye wanavyofanya ila mwisho wa siku itajulikana ipi pumba na upi mchele.
 
                                   CLOUD NDANI YA FILAMU MPYA YA FUNGATE
AIDHA CLOUD amewaomba wadau wafilamu nchini waweze kununa kazi zao zilizo halali ili kweza kuwasaport zaid kan kuweza kuipeleka mbele ytasniaya filamu nchini na si kupenda sana kunua copy au kuazimisha madukani.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...