WAY

Tuesday, October 9, 2012

MKALI WA SAUTI KUTOKA EXTRA BONGO RAMA PENTAGONE KUIBUKA NA NJIA PANDA NDANI YA ALBUM IJAYO YA EXTRA BONGO ASEMA SASA KAZI IMEANZA BAADA YA KULISOMA GAME VIZURI

Mwimbaji wa muda mrefu wa extra bongo ambae kwa sasa anakuja juu sana katika msauti ndani ya extra bongo RAMA PENTAGONE amesema karibu album mbili za extra bongo zimepita lakini hakuweza kutia nyimbo yake mle kutoka na kulisoma kwanza game na kujua watu wanataka nini sasa yuko mbioni kuandaa wimbo wake ambao utakua katika album ijayo ya extra bongo baada ya kuifanyia uzinduzi album ya mtenda akitendewa ambayo mwezi huu wa kumi inaenda kufanyiwa uzinduzi mkubwa ndani ya jiji la DAR-ES-SALAAM.

                                                    RAMA PENTAGONE
RAMA ambae alikuwepo kwenye album iliyofanya vizuri sana ya MJINI MIPANGO anasema kwa sasa EXTRA BONGO iko vizuri zaidi.
Akisimuliza kisa cha kutunga wimbo huo wa njia panda ambao pia uanweza ukaita kayanda ni tajiri mmoja ambae alikua na hela za kichawi ambao baadae masharti yakamtaka amtoe mwanae wa pekee hapo ndipo alipokua njia panda na nyimbo ndio akaita jina hilo la njia panda
                                   RAMA PENTAGONE AKITIA VOCAL

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...