WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Monday, December 31, 2012

EXECUTIVE MASSAGE CENTRE MOJA KATI YA MASSAGE CENTER ZA KISASA NDANI YA MTWARA INAYOENDESHWA NA WATAALAMU WA MASSAGE KAMA INAVOJULIKANA MASSAGE NI MOJA YA DAWA NZURI TU KWA MWILI WA MWANADAMU KWA KUIFANYA MTWARA YA KISASA ZAIDI KARIBU NDANI YA EMC

                         MOJA KATI YA VYUMBA VYA KUFANYIA MASSAGE(EMC)                                 ...

Monday, December 17, 2012

MUUMINI MWINJUMA KUITAMBULISHA RASMI VICTORIA SOUND LEO NDANI YA MTWARA ACHUKUA WANAMUZIKI TOKA,FM ACADEMIA,MASHUJAA,TWANGA,MAPACHA NA WENGINE CHIPUKIZIAMEANZA MAZOEZI LEO.

MWANAMUZIKI nguli wa muziki wa dansi ambae alishwahi kutamba na band mbali mbali za tanzania, ambapo zingine aliweza kuzimiliki yeye mwenyewe na baadae kutua twanga pepeta ambapo ndipo alipotokea sasa ametua rasmi ndani ya mtwara kwa ajili ya kuweka kambi ya  kujiandaa namahsambulizi ya kuliteka jiji tena kama alivyofanya kipindi cha double m na band zingine,ambapo amesema...

Friday, December 14, 2012

BAADA YA SHOW YAO YA KESHO YA KUSINDIKIZA KOFFI OLOMIDE TWANGA PEPETA WAMEANDAA BONANZA KUBWA LITAKALOITWA FAMILY DAY BONANZA YA TWANGA TAREHE 30-12-2012.

KATIKA Family Bonanza zote zilizowahi kufanywa na Twanga Pepeta, basi hili linalotarajiwa kufanyika Jumapili ya mwisho kabisa kwa mwaka huu, litakuwa halina mpinzani. Tarehe 30 mwezi huu, bendi hiyo imeandaa onyesho kubwa la kifamilia ndani ya Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam, likiwa ni maalum kwa ajili ya kuuaga mwaka 2012, ambapo...

Thursday, December 13, 2012

KUELEKEA SHOW YA KOFFI ZENGWE LAIBUKA ALAIN MULUMBA ASHTUSHWA KUSIKIA KUNA DIAMOND MUSICA ORIGINAL ITAKAYOSINDIKIZA SHOW YA KOFFI OLOMIDE ASEMA YEYE HANA TAARIFA YOYOTE KUHUSIANA NA BAND HIYO ILA DIAMOND MUSICA BADO IPO,LAKINI SIO AMBAYO ITASINDIKIZA SHOW HIYO

                                                       ALAIN MULUMBA KASHAMA Ikiwa ni bado siku kadhaa...

Wednesday, December 12, 2012

MUUMINI MWINJUMA KUIVUNJA TWANGA NA MASHUJAA MUSICA AMCHUKUA MPIGA SOLO ANAETEGEMEWA KWA SASA TWANGA SELE MOMBA NA MPIGA BASS PEKEE WA MASHUJAA KASSIM BASS KUMRUDISHA KATIKA GAME WAZIRI SONYO KATIKA KUIMARISHA SAFU YA UIMBAJI VICTORIA SOUND KUWEKA KAMBI MTWARA

PRINCE MUUMINI MWINJUMA ambae pia ni rais mpya wa band ya VICTORIA BAND ambae kwa sasa amesema yuko kwenye makakati wa kusajili wanamuziki wapya wa band yake hiyo ambayo amesema itakua tishio katika medani ya muziki wa dansi na kusema kwa sasa yuko kwenye mchakato wa kusajili waimbaji chipukizi lakini tayari ameshawachukuwa wanamuziki wawili kutoka band kubwa ambapo amemchukua...

IRENE UWOYA: AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA KWA MWAKA 2012 HAJAFANIKIWA KABISA KATIKA MIPANGO YAKE KATIKA FILAMU

STAA wa filamu ambaye popote atakapopita shabiki lazima amshangae, Irene Uwoya, anasema kuwa mwaka 2012 unamalizika lakini asilimia kubwa ya mambo yake hayakutimia. Anasema ndoto zake kubwa katika tasnia ya filamu ambazo kwa asilimia fulani anaamini hajazikamilisha, atazikamilisha mapema mwakani. Kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika tasnia ya filamu...

Tuesday, December 11, 2012

KUELEKEA SHOW YA KOFII OLOMIDE ZENGWE LA ASHA BARAKA KUTOTAKA MAPACHA WASHIRIKI ONYESHO HILO AFUNGUKA NA KUWEZA WAZI KUWA YEYE SIO MUAANDAJI HAWEZI KUPANGA MASHARTI YA BAND ZA KUIMBA ASEMA WASIWASI WAO KHALID CHOKORAA ASEMA BAND KUBWA HAZIJIAMINI NA PERFOMANCE ZAO NDIO MAANA WANAWAOGOPA ASEMA WATAAFANYA SHOW AMBAYO HAIJAWAHI TOKEA

WAKATI tukuelekea katika show ya KOFF OLOMIDE jumamosi ijayo mengi yameibuka kuhusiana na show hiyo ambapo kuna habari za chinichini zilizokuwa zinaungumzwa kuwa twanga wanataka kujitoa kutokana na mapacha watatu kuwepo katika show hiyo kwa aidha watoke wao au mapacha zengwe hilo nimelifatilia pande zote mbili ambapo niliweza kuongea na  DADA ASHA BARAKA ambae na yyeye...

Sunday, December 9, 2012

FM ACADEMIA KUFANYA TAMASHA LA KUSHEHEREKEA MIAKA 15 KUZIALIKA BAND MBALIMBALI NA WANAMUZIKI WOTE WALIOWAHI KUPITIA FM ACADEMIA KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA HILO ITAKUA NI SIKU MOJA KABLA YA KUPANDA JUKWAA MOJA NA KOFFI OLOMIDE

Band kongwe tanznia ya muziki wa dansi ambayo pia imejizolea mashabiki wengi kiasi cha kutosha wiki hii kufanya tamasha la kuadhimisha miaka 15 toka kuanzishwa kwa band hiyo ambapo  imepitia misukosuko mbali mbali moja wapo jela ambapo mapka wakaamua kujiita m academia wajelajela kabla ya kugawanyika na wengine kujiita wajelajela original na wengine wakijiita wajelajela...

Friday, December 7, 2012

BAND INAYOZIDI KUNG'ARA TANZANIA KWA SASA MAPACHA WATATU a.k.a WAKALI WA TOWN KUSIMAMA JUKWAA MOJA NA GWIJI WA MUZIKI AFRICA KOFFI CHALS ANTONIE OLOMIDE TAR-15 MWEZI HUU

MAPACHA WATATU 'WAKALI WA TOWN' WATAPANDA JUKWAAA MOJA NA MFALME WA MUZIKI WA MAYENU KUTOKA JAMHURI YA DEMOKRASIA YA KONGO, KOFII OLOMIDE, DESEMBA 15 KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB.                                                   ...

Thursday, December 6, 2012

MUUMINI MWINJUMA KUZIVUNJA BAND KUBWA TANZANIA KUIIMARISHA VICTORIA BAND,KUJICHIMBIA KUSINI KUANDAA MASHAMBULIZI TAYARI WIMBO KADHAA KWA AJILI YA YA MASHABIKI WAKE NA VICTORIA JE BAND GANI NA GANI KUBOMOLEWA NA MUUMINI!?

Baada ya kurejea kutoka kenya bila vipaji alivyoenda kuvitafuta muumini amesema kwa sasa ili kuweza kuinda band yake iwe bora kama zingine anafanya mpnago wa kuweza kuzibomoa baadhi za band kubwa tanzania ikiwemo TWANGA PEPETA,EXTRA BONGO na nyingine ambapo amesema tayari anayotimu kilichobaki ni kuwasainisha tu halafu aweze kuiingia nao kambini aidha iringa au mtwara ambapo...

Tuesday, December 4, 2012

SAJUKI NA WASTARA WAANDAA MATAMASHA KWA AJILI YA KUWASHUKURU WATANZANIA KWA DUA ZAO NA MICHANGO YAO,MWEZI WA KUMI NA MBILI HUU KUACHIA MOVIES YAO MPYA YA KIVULI LAKINI PIA SAJUKI ATOA ALBUM YA MUZIKI KWA AJILI YA WATANZANIA

WAkizungumza na mimi kwa njia ya simu leo huku sajuki akithibitisha kwa sasa ana afadhali sana kwani hata napoongea nae alikua akiendesha gari nguvu ambazo hata awali hakua nazo kabisa lakini kwa sasa kuna baadhi ya vitu anaweza kuvifanya kwa kuwa ananihisis anaelekea kupona kabisa hivyo basi kwa hali aliyoua nayo sajuki akishirikiana na mkewe wastara wameamua kuanzisha matamasha...

Friday, November 30, 2012

J.B SALVAROLA BA SWAHILI BINADAMU SHTUKA SUVERAIN PRIMIER NA MASHUJAA MUSIC BAND KUFANYA BALAA LEO NDANI YA LEADERS CLUB NI KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YA RISASI KIDOLE YA MASHUJAA MUSIC BAND

MASHUJAA BAND a.k.a Wazee wa KIBEGA, wanakuletea uzinduzi wa album yao ya pili ya RISASI KIDOLE wakiwa na mwanamuzi gwiji kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya kongo si mwingine bali ni JB MPIANA akiwa na kundi zima la WENGE BCBG leo siku ya ijumaa katika viwanja vya LEADERS CLUB kuanzia saa 2 usiku. Ni siku ambayo mpenzi wa muziki wa dansi hutaisahau kwani JB MPIANA ameapa...

MSAKO WA POLISI WAKISADIANA NA WANANCHI SONGA KIBAONI WASAIDIA KUVIPATA VITU VYA MAREHEMU HUSSEIN MKIETI a.k.a SHAROMILIONEA IKIWEMO SIMU NA VITU VINGINE AMBAVYO VILIIBIWA BAADA YA AJALI

BAADA ya watu wasio na  huruma ambao walishindwa kutoa msaada kwa marehemu sharomilionea katika kumuokoa na kuona ni bora vitu alivyokua navyo wakavichukua lakini baada ya uchunguzi wa polisi kwa kushirikiaana na wananchi na kuweza kupitisha msako mkali baadhi ya vitu vilivyochukuliwa katika tukio hilo vimepatikana. AKIONGEA kwa njia ya simu na blog hii aliekua rafiki wa karibu wa sharo milionea KITALE amevitaja vitu vya marehemu vilivyopatikana...

Thursday, November 29, 2012

MENEJA AKUDO IMPACTI AFUNGUKA ASEMA AKUDO BADO IPO NA CRISTIAN BELLA BAD NI MWANAMUZIKI WA AKUDO ILA YUPO MAPUMZIKONI TU NA HIVI KARIBUNI KUIZINDUA ALBUM YAO YA HISTORY NO CHANGE WAONGEZA SAFU YA WAIMBAJI KUTOKA KONGO

BAADA ya tetesi za muda mrefu za chinichini kuwa akudo impact inaelekea kugawanyika habari za kuaminika kutoka katika uongozi wa band ambapo nimezungumza na meneja wa akudo impact RAMA AKUDO ambae amefunga kuhusiana na mustakabali mzima wa akudo impact na kusema wanoitakua mabaya akudo wameshindwa kwani wao wanazidi kusonga mbele na wamechelewa kutoa album kutokana na kuwa...

Monday, November 26, 2012

HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE KUWA SHARO MILIONEA AMEAGA DUNIA KWA AJALI YA GARI NA NIMEONGEA NA NDUGU YAKE WA KARIBU SNURA MUSHI KANITHIBITISHIA HILO

MSANII WA VICHEKESHO NA MUZKI SHARO MILIONEA INASEMAKANA AMEFARIKI LEO HUKO MUHEZA MWANZA KWA AJALI YA GARI AMBAPO HABARI HIZO  NQA NILIVYONGEA NA NDUGU YAKE WA KARIBU SNURA MUSHI KANITHIBITISHIA HILO KWA NJIA YA SIMU SNURAH MUSHIHUKU AKILIA KWA UCHUNGU,AMESEMA NI KWELI BHASSI BAADA YA HAPO AMEENDELEA KULIA ILA HABARI ZAIDI NITAENDELEA KUKULTEA KUPITIA BLOG HII.                                                      ...

LICHA YA KUJAZA WATU KATI SHOW ZAKE TATU KANDA YA KUSINI ISHA MASHAUZI AWABOA MASHABIKI WAKE KWA KITENDO CHA KUCHATI NA SIMU KILA MARA AKIWA JUKWAANI WAKATI WATU WANATAKA LADHA SASA SIJUI NDIO MASHAUZI YENYEWE HAYO!?AU NDIO KUWAONA WAKAZI WA KUSINI HAWAJUI BURUDANI

ISHA MASHAUZI akiwa na MASHAUZI CLASSIC walifanya ziara ya siku tatu kusini mwa tanzania MTWARA MJINI,MASASI,NA LINDI, ambapo aliweza kufanya vizuri kwa kuweza kuwakusanya mashabiki vya kutosha licha ya kuburudisha na kujituma wakati mwingine kucheza mapanga na viduku na mastage show wake lakini wakati mwingi alikua akionekana kuchat na simu na kuacha waitikiaje wake wa mashauzi...

Sunday, November 25, 2012

ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE KWENDA KUZINDUIA ALBUM YA RISASI KIDOLE MASHUJAA MUSICA BAND WAMEJIFUNGIA WAKIJIFUA KUPAMBANA NA J.B MPIANA

Akizungumza nami meneja wa band hiyo MARTIN SOSPETER amesma kwa sasa wako kambini wakijifua zaidi ili kuweza kutoa burudani tofauti na walioizoea mashabiki wa mashujaa band siku ya uzinduzi wa album yao ambapo watasindikizwa na nguli wa muziki wa blolingi africa J.B SALVARORA BINADAM MPIANA ambapo wataenda kufanya nae show tatu katika majiji matatu ya tanzania ambapo ndio...

Saturday, November 24, 2012

Friday, November 23, 2012

SUPER NYAMWELA KUGEUKIA UIMBAJI NA UTUNGAJI NDANI YA EXTRA BOGNO MBIONI KUANDAA ALBUM YAKE YA TATU,AKAMILISHA MOJA AKIMSHIRIKISHA AMINI,ASEMA KAMWE HATOACHA KUCHEZA SHOW

MKALI wa show tanzania ambaye pia ni mkongwe aliewahi kushika ubingwa mbalimbali wa taifa na africa mashariki ambae maesema kwa sasa nageukia uimbaji rasmi baada ya kufanya kazi ya kucheza show kwa muda mrefu sasa ameamukugeukia uimbaji rasmi hasa wa band ambapo kwa sasa atakua muimbaji rasmi wa extra bongo ambapo kwa sasa ameshaweka wimbo wake ndani ya album ambayo imekishwa...

Thursday, November 22, 2012

DOGO RAMA MBIONI KUANDAA ALBUM YAKE YA PILI AMBAYO NDANI YAKE ATAMSHIRIKISHA JUMA NATURE,ISHA MASHAUZI,NYOSHI EL-SADAAT ASEMA NI ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE ASEMA TWANGA PEPETA NIKISIMA CHA BURUDANI NA HAITETEREKI HATA IWEJE

Msanii aliekuja kwa ksai sana katika chati za musiki wa dansi na mwimbaji wa twanga pepeta DOGO RAMA a.k.a. KING RAMA a.k.a VUALLA asema kwa mwka ujayo tayari amekwisha anza matayarisho ya nyimob tatu ambazo zipo tayari huku moja akiwa amekwisha irekodi kabisa na na sasa akiwa katika mchakato wa kuzitengenza nyingine mbili ambazo alizitaja nyimbo zilizokua tayari ni CHUKI...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...