WAY

Monday, November 26, 2012

LICHA YA KUJAZA WATU KATI SHOW ZAKE TATU KANDA YA KUSINI ISHA MASHAUZI AWABOA MASHABIKI WAKE KWA KITENDO CHA KUCHATI NA SIMU KILA MARA AKIWA JUKWAANI WAKATI WATU WANATAKA LADHA SASA SIJUI NDIO MASHAUZI YENYEWE HAYO!?AU NDIO KUWAONA WAKAZI WA KUSINI HAWAJUI BURUDANI

ISHA MASHAUZI akiwa na MASHAUZI CLASSIC walifanya ziara ya siku tatu kusini mwa tanzania MTWARA MJINI,MASASI,NA LINDI, ambapo aliweza kufanya vizuri kwa kuweza kuwakusanya mashabiki vya kutosha licha ya kuburudisha na kujituma wakati mwingine kucheza mapanga na viduku na mastage show wake lakini wakati mwingi alikua akionekana kuchat na simu na kuacha waitikiaje wake wa mashauzi wakiimba baadhi ya vipande wakati ye akichati na simu sasa watu wakawa wanajiuliza sasa sijui ndio mashauzi au ndio style au kuwachukulia poa mashabiki wake wa kusini kwamba hawajui burudani.

Wakiongea kwa nyakati tofauti mashabiki walioshudiia show ya isha mkoa wa mtwara na lindi wanasema tabia aaliyoionyesha isha mtwara ndio alioifanya lindi vile vile lakini licha ya kufanya ivo ila aameweza kukonga nyioyo kwa vionjo vyake vizuri lakini alikua anatupa utamu na kuukata kwa sababu anacheza kidogo kisha anaanza kuchat na simu wakati akijua kabisa akiwa jukwaani anatakiwa kukonga mashabiki simu angeweza hata kuiacha chini huku wakimsifu AISHA OTHMAN Ambae aliweza kukonga nyoyo kwa kucheza sambamba na madancer na huku na kuweza kuwafanya mashabiki kushangilia kwa nguvu sana.
LAKINI licha ya kasoro hiyo ndogo iliyotolewa na mashabiki wa burudani kusini wamesema bado anafanya vizuri kwa kuwa na wapigaji wazuri na wanaojituma huku wakongoza na mpiga kinanda maarufu tanzania THABIT ABDUL ambe ane aliweza kuwakonga nyoyo mashabiki baaday a kuonyesha umahiri wake kwa kupiga gitaa la solo na kufanya mashabiki kushangilia sana hasa style ya kidali ambayo ndio watu iliwafurahisha zaidi
                                      ISHA MASHAUZI KAZINI

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...