WAY

Tuesday, November 13, 2012

ROGER MUZUNGU WA FM ACADEMIA ASEMA AKIRUDI KUTOKA BELGIUM ANAKUJA NA WIMBO MKALI ZAIDI YA HESHIMA KWA WANAWAKE ALIOUTUNGA FM ACADEMIA SASA KUJA NA ALBUM YAKE BINAFSI ASEMA ITAKUA MOTO WA KUOTEA MBALI

Wengi ukiwamwambia nyimbo gani unaifahamu ya fm academia hatosita kukutajia heshima kwa wanawake ambao ulifanya vizuri sana mtunzi wake akiwa ni roger molandayi MUZUNGU ambae kwa sasa yupo nchini BELGIUMakisomea lugha ya kidutch ambapo anasema matarajio yake ya baadae ni kuja kuimba lugha tofauti tofauit na vile vile itamsaidia katika research zake za kimuziki.
                                      ROGER MUZUNGU IN BELGIUM
PIA roger amesema akirudi atakuja pia kutoa album yake binafsi ambapo tayari ameshatayarisha kibao CHA USIKU WA KIZA na kusema licha ya kuwepo kwenye album yake lakini pia kibao hicho kitapigwa kama kawaida na BAND YAKE YA FM ACADEMIA
                                        ROGER AKISIGN OUTOGRAPH
ROGER amesema mashabiki wake wajue kuwa yeye bado ni bado mwanamuziki wa fm academia na pindipo akirejea basi ataendeleza kuwa na fm academia na vile vile anatarajia kuwepo kuwepo kwenye uzinduzi wa fm academia kwenye album yao ya CHUKI YA NINI

1 comment:

  1. well done bro blog yako nzuri sana na safi sana..nimpenda mipangilio kuanzia mwanzo mpaka mwisho...well done brother mungu akusaidie uendelee zaidi na zaidi....keep it up

    ReplyDelete

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...