WAY

Wednesday, November 14, 2012

BAADA YA KIMYA KINGI NIKITA AINGIZA 3 KALI SOKONI NI CID,WELLDONE MY SON,NA COMEDY MOJA YA HATARI ASEMA ACTION NDIO FILAMU ANAZOPENDA KUZIFANYA ASEMA PARTY ONE TWO HADI 3 INAWEZEKANA KWA MTUNZI MZURI

MMOJA KATI YA wasanii waliotikisa kaika tasnia ya filamu ELIZABETH CHIJUMBA a.k.a NIKITA amesema baada ya kipya cha muda mrefu kwa sasa ameziingiza sokoni tatu kwa mpigo ikiweo ya CID ambayo ni filamu ya action ya aina yake ambayo amecheza kwa ubora wa hali ya juu na kuweza kubadilsiha kabisa tasnia ya filamu kutoka kwenye filamu za love story tupu hadi in action.

AIDHA NIKITA amesema filamu nyingine ambayo ameiingiza sokoni ni WELLDONE MY SON ambayo nayo imeigizwa kwa kiwango cha hali ya juu ambapo nadani yake yupo yeye mwenyewe ambae amfanya vizuri zaidi

mbali na hiyo nikita amsema katika kuonyesha kiwango zaidi ameweza kufanya siriaz comedy moja na msanii gwiji aktika COMEDY,MBOTO ambae amesema ni stardan comedy ambao ina ujumbe mkali ndani yake wakati ukiburudika huku unapata ujumbe huyo ndio nikita ambae amesema kuwa bado hajafikia maauzi ya kurudi katika kampuni ya TUESDDAY KIHANGALA mpka pale watakapokubaliana jinsi ya malipo.
MBOTO

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...