WAY

Sunday, November 4, 2012

RAYUU AWAOMBA RADHI MASHABIKI NA WADAU WA TASNIA YA FILAMU KWA PICHA ZAKE ZA UTUPU ZILIZOTAMBAA ASEMA HAKUFANYA KWA KUDHAMILIA ILA ALIPOTEZA SIMU YAKE ALIEICHUKUA NDIE ALIEITAMBAZA ASEMA ALIPIGA ILE PICHA KWA AJILI YA KUMUONYESHA RAFIKI YAKE WA KIKE TATOO ZAKE NA SI VINGINE

RAYUU ni jina lililokaa sana kwa sasa kwenye midomo ya watu kutokana na picha zake zilizozagaa mitandaoni kuhusiana kuwa amepiga pcia za uchi na kusema hakupiga picha za uchi ila alipiga mgongoni na ilikuwa ni private kwa ajili ya kumuonyesha rafiki yake wa kike ambae nae alitaka kuchora tatoo so kwa ajili ya kucopy ndio akapiga picha ile ili amtumie rafiki yake lakini kwa bahati mbaya simu ilipotea wakati yupo shooting na walikuwa wasanii wengi na alieiokota ndio aliipeleka mitandaoni na kumchafulia na kusema hiyo ni skendo ambayo imemkosesha deal nyingi sana kutokana na kuchafuka kwenye mitandano inga bado anasisitiza kuwa hakupiga picha ya utupu kabisa bali ni mgongo tu sehemu ilipo tatoo
RAYUU anasema picha zimemcost mpka kuna kampuni mbili ambazo zilitaka kufanya nae kazi wakamwambia asimame mpaka vuguvugu hili liishe kwa sababu limehaributaswira nzima yajina lake,lakini rayuu sio kukosa deal tu ila ansema picha hizo zilishababisha hadi akafukuzwa nyumbani na sio nyumbani tu hata boyfrend wake alimuacha kwa sababu ya picha hizo ambazo yeye anasema hajatambaza yey na vilevile kwa sasa hafanyi movie yoyote zaidi ya kumalizia  siries ya HIGH HILLS kutoka TUESDAY ENTERTAIMENT na baada ya hapo ndipo atakapo geukia tena filamu.
                                          RAYUU BAGENZI
RAYUU alisema kama angedhamilia kupiga pciha hizo na kuzitambaza angefanya muda mrefu sanakwa sababu fani ya uigizaji ameianza muda mrefu sana toka yuko mdogo wakati yupo kaole kwa nin iafanye hvi ila yeye anasema anaamiini aliemuaribia anaweza kuwa msanii menzie ambae aliokota simu yake wkati wakiwa shooting.
RAYUU wakati akiongea na blog hii kwa njia ya simu ambapo mahojiano yake utayasikia jinsi akielezea ilivyotoke mpaka ilivyokua kuhusunana na picha hizo amechukua fursa hiyo kuwaomba radhi mashabiki wake wote wa filamu na jamii kwa ujumla ambao walimuelewa vibaya.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...