WAY

Wednesday, November 21, 2012

STEVE NYERERE AITIA SOKONI FILAMU YAKE YA SITA GET OUT ASEMA KWA SASA AMEKUJA KUFANYA FILAMU ZIPENDWE NA RIKA ZOTE NA KUITOA ILE DHANA YA SANAA YA FILAMU BONGO NI UHUNI NA ZISIZO ELIMISHA ATETEA MATUMIZI YA FILAMU ZA KINGEREZA

MSANII wa vichekesho na na mwenye kiipaji cha kuigiza sauti tanznaia ambae pia kwa sasa ni mtayarishaji wa filamu za kibongo amefunguka kuhsuiana na kuiachia filamu yake mpya aliyoipa jina la GET OUT amesema kwa kuna baadhi ya filamu zinakua hazitazamiki na rika zote kwa hiyo kwa sasa alichofanya yeye ni kuja siriaz comedy ambazo ndani yake kunakuwa na mafundisho na pia filamu zake zinaweza kutazamwa na wasanii wa rika zote tofauti na sasa mtu akitaka kutazama filamu ya kibongo basi lazima ategee watoto wamelala na baba au mama mkwe hayupo karibu
Aidha steve nyere amesema amejpanga vizuri kuwainua wasanii upcoming kwa kuwa scen ndeefu na nyingi ili kuonyesha kipaji chake tofauti na wengine ambao wanawapa scene mbili tatu na kusema kuwa wanawasaidia ila yeye atawapa nafasi zaidi ili kuweza kuwatoa wengine katika tasnia ya filamu kwa ujumla na ksema kuwa kampuni yake ipo kwa ajili ya biashara na kusema kichwa chake ndio kitakachouza sokoni na wala si jina la mtu
PIA steve nyerere amesema kwa wale ambao wanaodhani kuwa skendo zinauza kwa sasa wananchi wamefunguka na kujua ni nani anefanya kazi nzuri na nani ni msanii wa magazeti na kusema kwa sasa wengi skendo zinawamaliza bila wao kujijua na sasa wameshuka hata kimauzo
                                       STEVE NYERERE KATIKA KAMPENI ZA CCM

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...