WAY

Thursday, November 8, 2012

MUUMINI CMWINJUMA ASEMA ATAKAKUONYESHA UKOCHA WA DUNIA MBIONI KUANDAA ALBUM YA TAARAB KWA AJILI YA MASHABIKI

Nguli wa muziki wa dansi nchini aliewahi kutamba na band mbali mbali nchini na kwa sasa akiwa na band ya TWANGA PEPETA,MUUMINI MWINJUMA asema yuko mbioni kuwapa zawadi mshabiki wake wa tanzania kwa kuonyesh kipaji chek kwa kuaanda album ya TAARABhuku akisema mzuka huo umempanda baada ya kuweza kuandaa album ya BAND YA FIVE STAR NA ZANZIBAR STAR kwa kiwango kikubwa sasa amekwisha andaa nyimbo kadhaa ambazo atazirekodi hivi karibuni na na kuandaa album nzima ambayo atafanya kwa kujiingiza kipato kidogo na kuwaonyesha watanzania kipaji chake.
                                          PRINCE MUUMINI MWINJUMA
NIKIMUULIZA kuhusiana na idea hiyo kuwa amechukua kama BANZA STONE ambae nae amefanya nyimbo kadhaa za taarabu amesema banza aliimba kwa kujifurahisha zaidi kwa kuwa nyimbo zake amezzisikia na hazijasimama sana ila yeye anatakakufanya kweli katika taarabu.
Akizunguma kuhusiana na ZING ZONG ya nyimbo zake alizofanya akiwa na band yake ya BWAGAMOYO SOUND amesema mpango huo ulisimama kutokana na kutaka kuitumikia twanga kwanza na baada ya hapo atazirekodi nyimbo hizo kwa kuwa zipi tu na hazifi kwakuwa ni tungo nzuri
WAKATI mkongwe ALLY CHOKI alipolalamikia vyombo vya habari hasa media kuuwa muziki wa dansi anasema nikweli na kusema watabngazaji wasasa wengi sana hawajitoi na hawajui ni maana ya muziki wa dansi na ndio maana unaelekea kufa
lAKINI pia alifafanua ujio wa nyimbo yake mpya ndani ya twanga pepeta akiupa jina la MAPAMBANO YA KIPATO ambapo ndaniyake kazungumzia vitu vingi sana kuhusiana na utafutaji wa pesa.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...