WAY

Sunday, November 25, 2012

ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE KWENDA KUZINDUIA ALBUM YA RISASI KIDOLE MASHUJAA MUSICA BAND WAMEJIFUNGIA WAKIJIFUA KUPAMBANA NA J.B MPIANA

Akizungumza nami meneja wa band hiyo MARTIN SOSPETER amesma kwa sasa wako kambini wakijifua zaidi ili kuweza kutoa burudani tofauti na walioizoea mashabiki wa mashujaa band siku ya uzinduzi wa album yao ambapo watasindikizwa na nguli wa muziki wa blolingi africa J.B SALVARORA BINADAM MPIANA ambapo wataenda kufanya nae show tatu katika majiji matatu ya tanzania ambapo ndio watafanya rasmi uzinduzi wa album yao ya RISASI KIDOLE ambayo itakua na nyimbo nane zote zikiwa zimesima

Akiongea na blog hii RASI WA MASHUJAA BAND CHALZ BABA KINGUNGE amezitaja nyimbo zilizomo humo ni pamoja na HUKUMU YA MNAFIKI,UNGENIELEZA,UMENINYIMA,TIKISIKA,RISASI KIDOLE ne nyingine ambazo zote zitaenda kupigwa siku hiyo ndani ya leader club utakapo kwenda kufanyika uzinduzi wa kihistoria katika medani za muziki wa dansi TANZANIA
                                             RAIS WA MASHUJAA CHALZ BABA
Nae kiongozi mwandamizi na mratibu wa uzinduzi huo KING DODOO LA BAUGE amesema kwa sasa timu yake iko vizuri na hivi karibuni na yeye ataanza kuandaa vibao vyake vitakavyoimbwa na band hiyo ikimbukwe kuwa king dodoo ni mmoja kati ya magwiji wa siku nyingi katika medani ya muziki wa dansi tanzania kwa sasa ndio anaiongoza MASHUJAA MUSIC BAND

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...