WAY

Thursday, November 8, 2012

CRISTIAN BELLA AAHDI AKIRUDI KUTOKA SWEEDEN KUZINDUA ALBUM YAKE YA KING OF THE BEST MELODY ITAKAYOBEBA NYIMBO NANE JE? ATAENDELEA KUWA NA AKUDO!!?

RAIS wa masauti CRISTIAN BELLA a.k.a APTOCALPSE BELLA ambae kwa sasa yupo STOLKHOM SWEEDEN akipiga show kadhaa na tayari ameshakwisha fanya show kadhaa huku akipagawisha watu na nyimbo zake mpya kama msaliti na usilie huku yako wapi mapenzi na safari sio kifo zikitikisa sana.
                                          BELLA KATIKA MOJA YA MAONYESHO SWEEDEN
BELLA ambeye yupo nchini sweeden zaidi ya mwezi sasa anasema pindipo atakapo rejea atazindua album yake yenye nyimbo nane ambayo ameipa jina la KING OF THA BEST MELODYS ambayo itakua na nyimbo nane ikiwemo MSALITI,USILIE,TIPIKA na nyingine ambazo amesema zitakua suprise kwa mashabiki wake katika siku ya uzinduzi.
akinijibu kuhusiana na akirejea kama ataendelea kubaki akudo ama la amesema akirejea basi ndio mashabiki wake watajua inakuaje lakini kwa sasa wakae tayari na ujio mpya wa album yake ya KING OF THE BEST MELODY
                                                  CRISTIAN BELLA MASAUTI

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...