WAY

Friday, November 30, 2012

J.B SALVAROLA BA SWAHILI BINADAMU SHTUKA SUVERAIN PRIMIER NA MASHUJAA MUSIC BAND KUFANYA BALAA LEO NDANI YA LEADERS CLUB NI KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YA RISASI KIDOLE YA MASHUJAA MUSIC BAND

MASHUJAA BAND a.k.a Wazee wa KIBEGA, wanakuletea uzinduzi wa album yao ya pili ya RISASI KIDOLE wakiwa na mwanamuzi gwiji kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya kongo si mwingine bali ni JB MPIANA akiwa na kundi zima la WENGE BCBG leo siku ya ijumaa katika viwanja vya LEADERS CLUB kuanzia saa 2 usiku.
Ni siku ambayo mpenzi wa muziki wa dansi hutaisahau kwani JB MPIANA ameapa kuwaachia zawadi ya kumbukumbu ya show kubwa,atapiga nyimbo zote za zamani zilizotamba na mpya ambazo utazisikia kwa mara ya kwanza.

 
JB MPIANA atafanya show kubwa sana huku MASHUJAA BAND nao wakitambulisha album yao ya RISASI KIDOLE yenye nyimbo 9
KUMBUKA NI IJUMAA HII NDANI YA LEADERS CLUB ni JB MPIANA TSHITUKA akiwa na kundi zima la WENGE BCBG wakiwasindikiza MASHUJAA BAND wazee wa KIBEGA katika uzinduzi wao.

Wahi ticketi yako mapema kwa sh 25,000 tu katika vituo vifuatavyo:

1.BUSINESS PARK-Grean acres house victoria kijitonyama
2.EDO CHIPS - Namanga
3.BRILLIANT - Mayfair plaza
4.TEXAS BAY WASH
5.CENTURY CINEMAX - mlimani city
6.ROBBY ONE FASHION - kinondoni
7.ROSE GARDEN - mikocheni
8.MASHUJAA PUB - vingunguti
KUMBUKA NI NAFASI PEKEE YA KUMUONA JB MPIANA na WENGE BCBG pamoja na MASHUJAA BAND wakikuletea RISASI KIDOLE
pia utapata bahati ya kuwashuhudia mastar wa bongo fleva H-BABA,NAY WA MITEGO na MB DOG
=====ni masebene na marhumba kutoka kwa JB MPIANA na MASHUJAA BAND wazee wa KIBEGA. leo IJUMAA ndani ya LEADERS CLUB==
==

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...