WAY

Wednesday, November 21, 2012

BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MSANII NDUMBANGWE MISAYO a.k.aTEA KUIBUKA NA KAMPUNI YAKE NA KUTENGENEZA FILAMU ZAKE PIA BAADA YA KUONA KUFANYA FILAMU ZA WENZAKE KUNAKUWA HAKUNA MASLAHI SASA KUINGIZA SOKONI MWEZI UJAYO FILAMU YA MALAIKA WANGU ASEMA SASA WASANII NDIO WANAANZA KAZI RASMI

MUIGIZAJI maarfu na mwenye kipaji cha hali ya juu nchini ambae pia alishawahi kutamba katika michezo mbalimbali ya kuigiza wakati akiwa na kundi la kaole lakini aliewahi kutamba katika filamu mbalimbali nchini na ambazo ziliweza kutikisa na pia aliweza kuchukua tuzo ya msanii bora wa kike ambae kwa sasa amekaa kimya kwa muda mrefu na blog hii nilijaribu kumtafuta na kumpata na kueleza kinagaubaga ni kitu gani kilimfanya awe kimya kwa muda
                                                            THEA MAMAA NA MIKE
akifunguka kuhusiana na ukimya wake alisema amekaa kwa muda mrefu sana katika game na kuweza kutengeneza jina lakini mwisho wa siku alikua haoni anachopata zaidi ya kuwafanyia kazi wakati umri unakwenda na familia inamtegemea na kazi anayoitegemea ni kufanya filamu kwa baada ya kuolewa na aliaumua kukaa kidogo nje ya filamu akitafakari jinsi ya kurudi kwenye game na kuanza kutengeneza filamu zake mwenyewe
Akizungumzia filamu yake anayotarajia kuipeleka sokoni mwezi ujao amesema imefanya kwa kiwango cha hali ya juu na amewachukua wale wasanii ambao walika nguvu zao katika sanaa kipindi hicho lakini skendo na vitu vingine vya kibinaadamu ndio vikawafanya mpka waache kufanya sanaa kama kina winter na wengine wengi ambao ataweza kushirikiana nao katika kampuni yake mpya.
MBALI na hilo pia tena amewza kufunguka kuhusiana na ulipuaji wa filamu na story kufana na kusema maisha ya kiafrika yanafaanana kwahivyo wakati mwengine na story zinafanana pia ingawa wapo ambao wanacopy na kupest pia

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...