WAY

Tuesday, November 13, 2012

SINTAH ASEMA HATUMII WEBSITE YAKE KUWACHAFUA WATU ILA NAITUMIA KUANDIKA UKWELI MTUPU HATA WAKATI MWINGINE YEYE MWENYEWE YANAMTOKEA NA ANAANDIKA ASISITIZA HANA BIFU NA AUNT EZEKIEL ILA ASISITIZA ALIEMPKA MAKE UP AUNT NDIO ALIVURUGA

MSANII wa kike mwenye makeke mengi katika tasnia ya filamu lakini pia ni mtayarishaji wa kipindi cha harusini na sintah na vile vile ni mmiliki wa website ya sintah.com afunguka na kusema kuwa wanaomshutumu kuwa anatumia website yake kwa ajili ya kujitetea na mambo yake na kuwachafua watu wengine sio kweli bali kama mmiliki wa blog eye anandika event na kile ambacho kinatokea kwenye jamii hata kama kina muhusu yeye,hayo alifungka hivi karibuni wakiti akiongea kwa njia ya simu na blog hii ya gmbongothaintertainer.com kwa njia ya simu kuhusiana na mambo yanatokea kwenye mtandao na kusema yeye hatafuti umaarufu kwa kuwa aliokua nao unatosha kabisa.

PIA SINTA alisema kukosoa make up ya aunt ezekil sio kwamba ana bief na aunt au alikua anataka aunt akfanye saloon yake na kusema yeye hana saloon ila anfanya kipindi cha harusini na sintah kwa hiyo alikua anafundisha maharusi ambao wanakenda kwakwe kuwa waangalie na disng ya make up kama aliyopakwa aunt ezekiel ilikua sio sawa kwa kuwa ilimuharibu muonekano wake wote.
                                       SINTAH NA HARUSINI NA SINTAH

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...